REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI

Katibu Mtendaji wa Baraza la uwezeshaji wa kiuchumi nchini (NEEC), Bengi Issa akizungumza wakati alipokuwa akifungua Warsha ya Faida za kum...



Katibu Mtendaji wa Baraza la uwezeshaji wa kiuchumi nchini (NEEC), Bengi Issa akizungumza wakati alipokuwa akifungua Warsha ya Faida za kumuwezesha Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi ya fedha kwa njia ya mitandao ya simu iliyofanyika katika ukumbi wa Tasisi ya utafiti nchini REPOA Jijini Dar es Salaam leo kwa kushirikiana na IDRC na TASAF.

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya utafiti ya REPOA , Dkt. Donald Mmari akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi ili aweze kufungua Warsha ya Faida za kumuwezesha Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi ya fedha kwa njia ya mitandao ya simu


Muwakilishi wa tasisi ya IDRC Kutoka nchini Canada ,Dr Arjan De Haan akizungumza na na wadau waliofika katika warsha hiyo namna taasisi yake ilivyohusika katika tafiti za kumuwezesha mwanamke kiuchumi kupitia mtandao wa simu.

Mtafiti kutoka Tasisi ya Utafiti ya REPOA, Dkt. Abel Kinyondo akizungumza na wadau walioshiriki Warsha ya Faida za kumuwezesha Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi ya fedha kwa njia ya mitandao ya simu ambapo alipata fursa ya kuwaeleza wadau faida na changamoto ya huduma hiyo katika mradi wa TASAF.


Mtafititi kutoka Tasisi ya Utafiti ya REPOA, Dkt. Blandina Kilama akitoa neno la ukaribisho kwa wadau waliofika katika Warsha ya Faida za kumuwezesha Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi ya fedha kwa njia ya mitandao ya simu iliyoandaliwa na REPOA kwa kushirikiana na IDRC na TASAF


Washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasmi wakati wa Warsha Faida za kumuwezesha Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi ya fedha kwa njia ya mitandao ya simu

Washiriki wa warsha hiyo wakifatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasmi wakati wa Warsha Faida za kumuwezesha Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi ya fedha kwa njia ya mitandao ya simu.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI
REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifM4LIo_bPca5kaK9WmqdwNElpJg2pnglWY-622CyvZY77Ace5io1ZJ2q3lVHUGCso8YgJjcoSC9ftCBXeyNmujxuQvBjuCkNU-a1V6CR8N4D5G4AMke8PYp0I0CbJ-9ozRiJ3bW8HRwc/s640/IMG_0074.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifM4LIo_bPca5kaK9WmqdwNElpJg2pnglWY-622CyvZY77Ace5io1ZJ2q3lVHUGCso8YgJjcoSC9ftCBXeyNmujxuQvBjuCkNU-a1V6CR8N4D5G4AMke8PYp0I0CbJ-9ozRiJ3bW8HRwc/s72-c/IMG_0074.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/repoa-yazindua-matokeo-ya-na-faida-za.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/repoa-yazindua-matokeo-ya-na-faida-za.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy