WAKE WA VIONGOZI WAMKUMBUKA MAMA MARIA NYERERE . Mama Maria Nyerere na MamaTunu Pinda wakiangalia picha zao walizopigwa na Mama Othmani...
WAKE WA VIONGOZI WAMKUMBUKA MAMA MARIA NYERERE.
 |
Mama Maria Nyerere na MamaTunu Pinda wakiangalia picha zao
walizopigwa na Mama Othmani kwenye simu ya kiganjani kikundi cha
wake wa viongozi walipomtembelea Mama Nyerere
nyumbani kwake Msasani kumjulia hali kwa ajili hali na kumpatia zawadi mbalimbali.
|
.JPG) |
Kikundi cha wake wa viongozi wakiwa
katika picha ya pamoja na Mama Maria Nyerere. Kutokea (kushoto) ni Regina Lowassa, Mama Tunu Pinda, Mama Kawawa pamoja na Mama Sumaye. |
 |
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda ambaye ni mlezi wa
kikundi cha wake wa viongozi (New Millennium Women Group) akimsikiliza kwa makini
Mama Maria Nyerere wakati wanachama wa kikundi hicho walipo mtembelea Mama Nyerere nyumbani
kwake Msasani jana. (Picha na Chris Mfinanga) |
COMMENTS