MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA ASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu), akikagua gwaride la heshima wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi




HomeJamii

MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA ASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu), akikagua gwaride la heshima wakati wa hafl...

WCF YATOA MUONGOZO WA TATHMINI YA UGONJWA NA AJALI KWA MADAKTARI
MKURUGENZI MKUU SSRA AKAA MAPOKEZI KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI; NI KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAONGEZA MUDA WA ZIADA WA KUWAHUDUMIA WATEJA WAKE


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali   Projest Rwegasira (Mstaafu) na Meja Jenerali Simon Mumwi (Mstaafu) (kulia aliyesimama kwenye gari), wakisukumwa kwenye gari inayotembea mwendo wa   taratibu kuashiria kumalizika kwa utumishi wao katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakati wa hafla ya kuwaaga, iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira   (Mstaafu) akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  , Jenerali Venance Mabeyo, baada ya kumaliza utumishi katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa jeshi hilo, iliyofanyika leo katika Kambi ya  Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam. 

Gwaride la Heshima likipita mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu),   wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Meja Jenerali  Projest Rwegasira (Mstaafu)  na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Dk. Florens Turuka(kulia), wakizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Ambapo Meja Jenerali Rwegasira (Mstaafu), aliagwa baada ya kumaliza utumishi wake katika jeshi hilo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu), akizungumza na   Meja Jenerali James Mwakibolwa wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Ambapo Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu), aliagwa baada ya kumaliza utumishi wake katika jeshi hilo. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini, Jenerali Venance Mabeyo,  

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu), akiagana na  Meja Jenerali, James Mwakibolwa baada ya  hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam. Ambapo Meja Jenerali   Projest Rwegasira (Mstaafu), aliagwa baada ya kumaliza utumishi wake katika jeshi hilo.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA ASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA
MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA ASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiKJV_wKrIAUm9OTnAR_jTYXxe_iVHdn9PBlzXWTTN6KzNGUTlF0EyyGrNZGGA1pp_c42kux-t65PDsFuyqR0xUALcyz8Dmi-j5YLrr-c2LPCVsaFDG9e7IYorO-Pu21TlD8DyNT6EuTsw/s640/PIX+1...JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiKJV_wKrIAUm9OTnAR_jTYXxe_iVHdn9PBlzXWTTN6KzNGUTlF0EyyGrNZGGA1pp_c42kux-t65PDsFuyqR0xUALcyz8Dmi-j5YLrr-c2LPCVsaFDG9e7IYorO-Pu21TlD8DyNT6EuTsw/s72-c/PIX+1...JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/meja-jenerali-projest-rwegasira-astaafu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/meja-jenerali-projest-rwegasira-astaafu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy