Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe, wakati akiuliza swali la papo kwa papo, ...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe, wakati akiuliza swali la papo kwa papo, bungeni mjini Dodoma, Novemba 9, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)​
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu wakati wa kuulizwa maswali ya papo kwa papo Bungeni mjini Dodoma leo. |

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akiteta jambo na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza wakati wa kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma. (PICHA ZOTE CHINI NA DAUDI MANONGI-MAELEZO)

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) Mhe.Dk Imaculate Semesi wakati wa kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Mbunge wa Bukombe(CCM) Mhe.Doto Biteko akiuliza swali wakati wa kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.William Ole Nasha akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Wanafunzi wa kidato cha sita wa Shule ya sekondari Dodoma wakiwa bungeni kujifunza shughuli mbalimbali za bunge ilo wakati wa kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof Joyce Ndalichako akiwasilisha kauli ya Serikali kuhusu udahili na utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka 2017/2018 Bungeni mjini Dodoma.
COMMENTS