MAKAMU WA RAIS AFUNGA MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA MTANDAO WA POLISI WANAWAKE TANZANIA
HomeJamii

MAKAMU WA RAIS AFUNGA MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA MTANDAO WA POLISI WANAWAKE TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride maalum la polisi wanawake kwenye kilele cha Ma...





Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride maalum la polisi wanawake kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania yalioyofanyika kwenye Chuo Cha Taaluma ya Polisi,Kurasini, Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo juu ya umuhimu wa alama za barabarani kutoka kwa Koplo Faustina Nduguru wa Kitengo cha Usalama Barabarani makamo makuu ya polisi Dar es Salaam wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania yalioyofanyika kwenye Chuo Cha Taaluma ya Polisi,Kurasini, Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo juu kamera kugundua wanaoendesha kwa mwendo mkali kutoka kwa Konstabo Sharifa Ismail wa Kitengo cha Usalama Barabarani makamo makuu ya polisi Dar es Salaam wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania yalioyofanyika kwenye Chuo Cha Taaluma ya Polisi,Kurasini, Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamishna wa Polisi Jamii Mussa Ali Mussa ambaye alimkaimu Mkuu wa Jeshi la Polisi kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania yalioyofanyika kwenye Chuo Cha Taaluma ya Polisi,Kurasini, Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)




Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS AFUNGA MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA MTANDAO WA POLISI WANAWAKE TANZANIA
MAKAMU WA RAIS AFUNGA MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA MTANDAO WA POLISI WANAWAKE TANZANIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2EXk3leHT_2KyqyHQHO1mxLw51_QLmPFk7229Wljms0edXuSpa8hQ0JyoT_ShUNHBSOZpD8yw2clwXh6voI-GD4LfspTRmeRcpnESIDVms9vVODkfmE5QeIFgsTN6QOIvp7BUK2WzZCSw/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2EXk3leHT_2KyqyHQHO1mxLw51_QLmPFk7229Wljms0edXuSpa8hQ0JyoT_ShUNHBSOZpD8yw2clwXh6voI-GD4LfspTRmeRcpnESIDVms9vVODkfmE5QeIFgsTN6QOIvp7BUK2WzZCSw/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/makamu-wa-rais-afunga-maadhimisho-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/makamu-wa-rais-afunga-maadhimisho-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy