FAINALI KOMBE LA PBZ MKOMBOZI CUP KATI YA TIMU YA PBZ NA FFU IMESHINDA BAO 2--0

KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan King akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya PBZ Mkombozi C...



KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan King akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya PBZ Mkombozi Cup 2017 Khamis Said Abdallah, baada ya ushindi wa mchezo huo kwa kuifunga PBZ Bao 2--0 Novemba 1 2017.(Picha na Othman Maulid


Beki wa Timu ya PBZ Rashid Salum akimzuia mshambuliaji wa Timu ya FFU Tarim Ahmada wakati wa mchezo huo wa Fainali ya Kombe la PBZ Mkombozi Cup, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya FFU imeshinda mchezo huo.2 -0.

Mshambuliaji wa Timu ya FFU Machazo Iddi akimpita beki wa Timu ya PBZ Rashid Salum, wakati wa mchezo wao wa Fainali ya Kombe la PBZ Mkombozi Cup 2017, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan  Timu ya FFU imeshinda 2-0.

Mshika kibendera namba 2 Rashid Ramadhani akiinua kibendera juu kuashiria mchezaji wa Timu ya FFU kucheza rafu katika mchezo huo.

Mshambuliaji wa Timu ya FFU Tarim Ahmad, akijaribu kumpita beki wa Timu ya PBZ Soud Mosi akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la PBZ Mkombozi Cup 2017. Timu ya FFU imeshinda bao 2--0.(Picha na Othman Maulid)



COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: FAINALI KOMBE LA PBZ MKOMBOZI CUP KATI YA TIMU YA PBZ NA FFU IMESHINDA BAO 2--0
FAINALI KOMBE LA PBZ MKOMBOZI CUP KATI YA TIMU YA PBZ NA FFU IMESHINDA BAO 2--0
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhixz7RwgyAp44aHunNIdR06kUpLvl17cIu-Rq7BnHhmhSY7wSNYruwuzK5lTDvUd6H1TXhHCidgJnmSFgnIFOa1-CHn7SgPV01KeOhWcmcpvIlN0OdqJGE2ypfD8PbD9p8-JSGHZdV4Hs/s640/DSC_0138.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhixz7RwgyAp44aHunNIdR06kUpLvl17cIu-Rq7BnHhmhSY7wSNYruwuzK5lTDvUd6H1TXhHCidgJnmSFgnIFOa1-CHn7SgPV01KeOhWcmcpvIlN0OdqJGE2ypfD8PbD9p8-JSGHZdV4Hs/s72-c/DSC_0138.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/fainali-kombe-la-pbz-mkombozi-cup-kati.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/fainali-kombe-la-pbz-mkombozi-cup-kati.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy