BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA
HomeJamii

BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi vitabu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni (k...


Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi vitabu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni (kulia)  na kukutana na baadhi ya viongozi na wahadhiri wa Chuo hicho. kushoto ni Mkuu wa Chuo Cha Sayansi ya Kijamii na Masomo ya Kibinadamu Profesa, Albino Tenge.

 
 Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem katika picha y pamoja akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni (wa nne kushoto)
  Balozi
wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi kitabu Mkuu wa Chuo Cha Sayansi ya Kijamii na Masomo ya Kibinadamu Profesa, Albino Tenge kushoto na kulia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni
 Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akielekeza jambo mara baada ya kukabidhi vitabu kwa uongozi wa Chuo hicho.

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akisaini kitabu cha wageni mara alipowasili katika Chuo Kikuu  cha UDOM
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA
BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgRMVmmBzC4ytwdkJhDgauGRxCLGh1yknHReYNboBt3RSjC_x_huOTc3mGNR5BKh0vQqb6pQiPJP5-QjD1RIbmqr1mBwmiOADQwqIX7jshlTZ-nF0VEFYIcym8zgVv6e9__OMej8Kl1os0/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgRMVmmBzC4ytwdkJhDgauGRxCLGh1yknHReYNboBt3RSjC_x_huOTc3mGNR5BKh0vQqb6pQiPJP5-QjD1RIbmqr1mBwmiOADQwqIX7jshlTZ-nF0VEFYIcym8zgVv6e9__OMej8Kl1os0/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/balozi-wa-kuwait-atembelea-chuo-kikuu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/balozi-wa-kuwait-atembelea-chuo-kikuu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy