ZIMAMOTO WAKONGA NYOYO ZA WANANCHI MAONESHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
HomeJamii

ZIMAMOTO WAKONGA NYOYO ZA WANANCHI MAONESHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

Sajini wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji toka Makao Makuu, Damian Muheya (Kulia), akiwaelimisha wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro jinsi vizimia...

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI
VIDEO: DKT.NDUGULILE AWATUNUKU VYETI WATOA HUDUMA WA KUJITOLEA WA MASHAURI YA WATOTO MKOANI KATAVI.
ALICHOKIZUNGUMZA NAIBU WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YAJAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO MHE. DKT. FAUSTINE NDUGULILE KWA WANAWAKE WAJASILIAMALI WA MKOA WA RUKWA


Sajini wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji toka Makao Makuu, Damian Muheya (Kulia), akiwaelimisha wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro jinsi vizimia moto vya awali (Fire Extinguisher) vinavyotumika pindi moto unapotokea, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yanayoendelea Mkoani humo katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa yameingia siku ya tatu tangu kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Samia Suluhu tarehe 16/10/2017. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI, TII SHERIA, OKOA MAISHA”. (Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)

Wananchi wa Mjini Kilimanjaro wakiwa katika banda la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakipata elimu juu ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya moto kwenye vyombo vya Usafiri na Usafirishaji, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yanayoendelea Mkoani humo katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa yameingia siku ya tatu tangu kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Samia Suluhu tarehe 16/10/2017. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI, TII SHERIA, OKOA MAISHA”.


Wananchi wa Mjini Kilimanjaro wakipata maelezo mbalimbali kutoka kwa Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kitengo cha Maokozi Saidi Seng’endo (Kushoto) walipotembelea banda hilo, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yanayoendelea Mkoani humo katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa yameingia siku ya tatu tangu kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Samia Suluhu tarehe 16/10/2017. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI, TII SHERIA, OKOA MAISHA”. 


Picha ni sehemu ya mabanda ya washiriki mbalimbali wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yanayoendelea Mkoani Kilimanjaro katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa yameingia siku ya tatu tangu kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Samia Suluhu tarehe 16/10/2017. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI, TII SHERIA, OKOA MAISHA”.

Picha watoto wakimsikiliza Konstebo Saidi Seng’endo juu ya matumizi ya kifaa kinachohifadhi hewa safi (Breathing Apparatus) kwa ajili ya kumsaidizi Askari wa Zimamoto kwenye matukio mbalimbali.

Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kitengo cha Maokozi toka Makao Makuu, Saidi Seng’endo (Kushoto), akiwa na Konstebo wa Kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Simba Mikidadi (Kulia), wakiwaonesha wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro jinsi baadhi ya vifaa vya gari maalum la maokozi (Fire Rescue Tender) vinavyotumika pindi ajali inapotokea barabarani, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yanayoendelea Mkoani humo katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa yameingia siku ya tatu tangu kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Samia Suluhu, tarehe 16/10/2017. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI, TII SHERIA, OKOA MAISHA”. (Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ZIMAMOTO WAKONGA NYOYO ZA WANANCHI MAONESHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
ZIMAMOTO WAKONGA NYOYO ZA WANANCHI MAONESHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0q9YcHtNOEMBR1HNMrXDlaabMoxU_fGhy3Ydw7pIZGSZJTXo-Gwaeb2VkguLuXX-9oukYfCyhAwPnZ-0gvWtL5PxunAINvpOhpuWxcOJX9CsaC6NAyk_uLKz4Hl9q0o6VVsjLY5cUvabF/s640/PIX+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0q9YcHtNOEMBR1HNMrXDlaabMoxU_fGhy3Ydw7pIZGSZJTXo-Gwaeb2VkguLuXX-9oukYfCyhAwPnZ-0gvWtL5PxunAINvpOhpuWxcOJX9CsaC6NAyk_uLKz4Hl9q0o6VVsjLY5cUvabF/s72-c/PIX+1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/zimamoto-wakonga-nyoyo-za-wananchi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/zimamoto-wakonga-nyoyo-za-wananchi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy