Katibu wa Chama cha Mashujaa waliopigana Vita kuu ya pili ya Dunia ambaye ni Baba Mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Ma...
Katibu wa Chama cha Mashujaa waliopigana Vita kuu ya pili ya Dunia ambaye ni Baba Mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mzee Sylvester Lubala na Mkewe Cecilia Lubala wakipunga mkono kwa wageni waalikwa wakati wa hafla yao ya kutimiza Miaka 71 ya ndoa iliyofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na watu maharufu na Viongozi wa kitaifa.
COMMENTS