NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Mhandisi Anjelina Madete (kulia), akimkaribisha Naibu Waziri wa Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto), Wizarani mjini Dodoma alipowasili kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kushika nyadhifa hiyo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. 
HomeJamii

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Mhandisi Anjelina Madete (kulia), akimkaribisha ...




Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali Watu na Utawala wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Bi. Kitolina Kippa (kulia), akimkaribisha Naibu Waziri wa Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto),  Wizarani mjini Dodoma alipowasili kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kushika nyadhifa hiyo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. 

Mkurugenzi Msaidizi wa Sera na Takwimu Bwana Adamu Mwaigoga, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), akimkaribisha Naibu Waziri wa Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye, alipowasili Wizarani mjini Dodoma kwa mara ya kwanza.

Mmoja wa watumishi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (wa Sekta ya Uchukuzi), Bi. Rose Mwalujuwa, akimkaribisha Naibu Waziri wa Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye, alipowasili Wizarani mjini Dodoma. (Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano) 











Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEidguJoRTdpxFg43agaDIDPs6zPtBX7KbZL8gtmtbLG51N2g0coRKJX2hvHXQLEipyNxqe1kf_eujv3q8gNCWE0uYOMLjgJ0WgtpMzi_4KBRnSI3w1OftpqLRtAIF50l5e9QYELxbwqLyg/s640/NA.1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEidguJoRTdpxFg43agaDIDPs6zPtBX7KbZL8gtmtbLG51N2g0coRKJX2hvHXQLEipyNxqe1kf_eujv3q8gNCWE0uYOMLjgJ0WgtpMzi_4KBRnSI3w1OftpqLRtAIF50l5e9QYELxbwqLyg/s72-c/NA.1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-wa-uchukuzi-na-mawasiliano.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-wa-uchukuzi-na-mawasiliano.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy