Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akizungumza n...

Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana wakati akitangaza rasmi kuzindua Tamasha la 'Tulia Traditional Dances Festival 2018' linalofanyika kila mwaka Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, pamoja na kuwashukuru wadhamini waliofanikisha Tamasha lililofanyika Mwezi Septemba mwaka huu Tukuyu. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Utamaduni, Lilly Beleko, aliyemwakilisha Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo (kulia) ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Air Tanzania, Ladislaus Matindi. (Picha na Muhidin Sufiani)
NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AWASHUKURU WADAU, AZINDUA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018.

Advertisement

MAIN QUOTE
x cbfgmfg hghg
- Steve Jobs
WEEK TRENDING
Loading...
YEAR POPULAR
HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha k...
Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Mssao akitoa taarifa ya maofisa wapya kwa Amiri ...
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah Abdulkadri akisoma wakati wa fainali zake mashindano Dar es Sal...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Mwitongo, Butiama Januari 20, 2018. K...
Muonekano wa ndani wa ukumbi mpya wa mikutano uliojengwa na CCM mjini Dodoma ambao uko katika hatua za mwisho...
COMMENTS