MISA YA KUMUAGA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA TUNDURU-MASASI MAREHEMU CASTOR PAUL MSEMWA
HomeJamii

MISA YA KUMUAGA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA TUNDURU-MASASI MAREHEMU CASTOR PAUL MSEMWA

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tun...

SERIKALI YALIPA MADAI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA TTCL SHILINGI BILIONI 12.7
RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA KYAKA-BUGENE WILAYANI KARAGWE
VIDEO MHE. MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO NA MAFUNZO YA UFUNDI






Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam.



Baadhi ya Mapadri nao wakipita mbele kuaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.



Katibu wa Rais Ngusa Samike(wapili kushoto), akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam



Jeneza lenye mwili wa marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa likiwa limebebwa na Mapadri wakielekea ndani ya Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.



Jeneza lenye mwili wa marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa likiwa limebebwa na Mapadri wakielekea ndani ya Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.



Viongozi mbalimbali, Mapadri, Maaskofu pamoja na waamini wa Kanisa Katoliki wakiwa katika misa ya kumuombea Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.


Makamu wa rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania Askofu Mkuu wa jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya akizungumza kabla ya kuaga mwili wa marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa katika kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.





Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora Paul Ruzoka akizungumza katika Misa ya kumuombea Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa katika kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.




Waumini wa kanisa Katoliki wakiwa katika Ibada ya kumuombea Marehemu katika Kanisa hilo jijini dar es Salaam.



Viongozi mbalimbali, Mapadri, Maaskofu pamoja na waamini wa Kanisa Katoliki wakiwa katika misa ya kumuombea Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.




Mkurugenzi wa Mawasiliano katika Baraza la Maaskofu Tanzania Benard James akizungumza mara baada ya Misa hiyo. (PICHA NA MPIGA PICHA WETU).
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MISA YA KUMUAGA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA TUNDURU-MASASI MAREHEMU CASTOR PAUL MSEMWA
MISA YA KUMUAGA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA TUNDURU-MASASI MAREHEMU CASTOR PAUL MSEMWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUQ55ILw84wXRW9KWGzbdJKRfMR7_wRW-jekl4UWZK9WE1Ea69DzG21jOyrO5ILZLJNxmz1YIsbeuR7HEjovae1beJtJp1QiMNtPI5hwySBKtZup_s1jw4FlaiDzRU5SEAilchzs6ebMlT/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUQ55ILw84wXRW9KWGzbdJKRfMR7_wRW-jekl4UWZK9WE1Ea69DzG21jOyrO5ILZLJNxmz1YIsbeuR7HEjovae1beJtJp1QiMNtPI5hwySBKtZup_s1jw4FlaiDzRU5SEAilchzs6ebMlT/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/misa-ya-kumuaga-askofu-mkuu-wa-jimbo-la_24.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/misa-ya-kumuaga-askofu-mkuu-wa-jimbo-la_24.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy