MAMA JANETH MAGUFULI ATEMBELEA VITUO VYA WATOTO YATIMA NA WAZEE ZANZIBAR LEO
HomeJamii

MAMA JANETH MAGUFULI ATEMBELEA VITUO VYA WATOTO YATIMA NA WAZEE ZANZIBAR LEO

Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamema Shein wakiwa na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Mazizini Unguja amba...

BLOGGER TUPOKIGWE ABNERY KUZINDUA KITABU CHA RIWAYA "MAPENZI KABURINI" JIJINI ARUSHA
WAZIRI MKUU AZINDUA MIONGOZO YA MAFUNZO KWA WAHITIMU NA WANAGENZI
SPIKA NDUGAI AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE MJINI DODOMA.



Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamema Shein wakiwa na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Mazizini Unguja ambako wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.



Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamema Shein katika kituo cha yatima cha SOS eneo la Mombasa mjini Unguja ambako wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.


Mama Janeth Magufuli akiwa na Mama Mwanamema Shein wakimsalimia Bibi anayelelewa katika kituo cha Wazee eneo la Welezo ambako wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.



Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamema Shein wakisalimia baadhi ya wazee wanaolelewa katika kituo cha Welezo Unguja wakati wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari.
Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamema Shein akikabidhio msaada wa vyakula kwa ajili ya wazee wanaolelewa kituo cha Welezo Unguja wakati wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.
Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamema Shein wakiwa katika kituo cha kulelea Wazee cha Sebleni Unguja wakati wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.
Mama Janeth Magufuli akisalimiana na mwakilishi wa wazee wanaoishi katika kituo cha kulelea Wazee cha Sebleni Unguja wakati alipotembelea ambapo alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017. .

Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamema Shein akitoa misaada katika kituo cha yatima cha wazee cha Sebleni Unguja wakati wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.
Mama Janeth Magufuli akiaga baada ya kutembelea katika kituo cha kulelea Wazee cha Sebleni Unguja wakati alipotembelea hapo na kutoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017. (PICHA NA IKULU)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAMA JANETH MAGUFULI ATEMBELEA VITUO VYA WATOTO YATIMA NA WAZEE ZANZIBAR LEO
MAMA JANETH MAGUFULI ATEMBELEA VITUO VYA WATOTO YATIMA NA WAZEE ZANZIBAR LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjBz3g5N2sykz_G8jWhAXgvWGevbTZntZNgCB59ZQMXhgm_vXYHtejcPGPFYao8FQw1KRprDymR9Q8VnxFI5p02jO3wAE9AM9SAxPWQbRfNJdoUUi-BP3JXk56n74Cmq3eE3ikdACOzsJR-/s640/IMGT1075.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjBz3g5N2sykz_G8jWhAXgvWGevbTZntZNgCB59ZQMXhgm_vXYHtejcPGPFYao8FQw1KRprDymR9Q8VnxFI5p02jO3wAE9AM9SAxPWQbRfNJdoUUi-BP3JXk56n74Cmq3eE3ikdACOzsJR-/s72-c/IMGT1075.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/mama-janeth-magufuli-atembelea-vituo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/mama-janeth-magufuli-atembelea-vituo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy