KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA
HomeSiasa

KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA

Mwenyekiti wa muda wa kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania,(UWT), Taifa, Diana Chilolo, akizungumza wak...






Mwenyekiti wa muda wa kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania,(UWT), Taifa, Diana Chilolo, akizungumza wakati wa kikao hicho kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. Kushoto ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima na kulia ni Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi.


Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mgeni Hassan Juma akisalimia alipotambulishwa katika kikaocha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya ya wanawake Taizania (UWT) kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17,


Wajumbe wakishangilia wakati wa kikao wa kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya ya wanawake Taizania (UWT) kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo).


Maofisa wa UWT wakiandaa makabrasha kabla ya kuanza kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyi Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo).

Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi akizungumza wakati wa Kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyi Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. Kulia ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima na katikati ni Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho Diana Chilolo.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA
KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtN19lonabhUUH3tby5QxwvFCRYvTYmWIfNI0kwdi24yuVibgxW1fHaBsJNZ1TE70MUZeEKBElPghqWR-DeAwRMBbKRQ74dbivZ73b9Z_9j37TK30Qe35iN5tBzm0FIFHz2ksXThwx_kaI/s640/2.+BN648958.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtN19lonabhUUH3tby5QxwvFCRYvTYmWIfNI0kwdi24yuVibgxW1fHaBsJNZ1TE70MUZeEKBElPghqWR-DeAwRMBbKRQ74dbivZ73b9Z_9j37TK30Qe35iN5tBzm0FIFHz2ksXThwx_kaI/s72-c/2.+BN648958.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/kikao-cha-baraza-kuu-la-uwt-taifa-leo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/kikao-cha-baraza-kuu-la-uwt-taifa-leo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy