KAMPUNI YA BIMA YA MGen INSURANCE YATOA MSAADA WA MASHINE ZA KIPIMA KIWANGO CHA HEWA NA MAPIGO YA MOYO KWA WATOTO WACHANGA
HomeJamii

KAMPUNI YA BIMA YA MGen INSURANCE YATOA MSAADA WA MASHINE ZA KIPIMA KIWANGO CHA HEWA NA MAPIGO YA MOYO KWA WATOTO WACHANGA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akikabidhi msaada wa mashi...

BODI YA MAZIWA TANZANIA KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KUONGEZA IDADI YA NG'OMBE WA MAZIWA KUFIKIA MILIONI 1.5
DKT. SHEIN AWAONGOZA VIONGOZI MBALIMBALI KATIKA HITMA YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MZEE ABEID KARUME MJINI UNGUJA
TRA INAUNGANA NA WATANZANIA WOTE KATIKA KUMBUKUMBU YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MHE. SHEIKH ABEID AMANI KARUME


Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akikabidhi msaada wa mashine mbili za Kupima Kiwango cha Hewa na Mapingo ya Moyo kwa Watoto wachanga (Pulse Oxmeter) kwa Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dkt. Elnestina Mwipopo leo jijini Dar es salaam, Kampuni hiyo imetoa mashine hizo zenye thamani ya shilingi milioni 2.8 na vitu mbalimbali kwa ajili ya watoto katika hospitali hiyo jumla ya msada wote ni shilingi milioni 3.8. (PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
2
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es Salaam Bw. Charles Sumbwe akikabidhi msaada wa Vifaa mbalimbali vya kuwahudumia watoto kwa Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dkt. Elnestina Mwipopo leo jijini Dar es Salaam, Kampuni hiyo imetoa mashine hizo zenye thamani ya shilingi milioni 2.8 na vitu mbalimbali kwa ajili ya watoto katika hospitali hiyo.

3 4
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe na Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dkt. Elnestina Mwipopo mara baada ya kukabidhiana msaada wa mashine mbili za Kupima Kiwango cha Hewa na Mapingo ya Moyo kwa Watoto wachanga (Pulse Oxmeter) kwa leo jijini Dar es salaam.
5
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi misaada hiyo.
6
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi misaada hiyo wa pili kutoka kulia ni Lugano Mkisi Mkuu wa Masoko Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania.
7
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam wakiwa katika hospitali ya Mwananyamala tayari kwa kukabidhi misaada hiyo.
8
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam wakibeba miziogo baada ya kuwasili katika hospitali ya Mwananyamala tayari kwa kukabidhi misaada hiyo.
9
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es Salaam wakishusha mizigo kwenye gari mara baada ya kuwasili katika hospitali ya Mwananyamala tayari kwa kukabidhi misaada hiyo.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMPUNI YA BIMA YA MGen INSURANCE YATOA MSAADA WA MASHINE ZA KIPIMA KIWANGO CHA HEWA NA MAPIGO YA MOYO KWA WATOTO WACHANGA
KAMPUNI YA BIMA YA MGen INSURANCE YATOA MSAADA WA MASHINE ZA KIPIMA KIWANGO CHA HEWA NA MAPIGO YA MOYO KWA WATOTO WACHANGA
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/09/1-111.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/kampuni-ya-bima-ya-mgen-insurance-yatoa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/kampuni-ya-bima-ya-mgen-insurance-yatoa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy