Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Profesa Maji Marefu akishiriki kufyetua matofali 10000 ambayo baadae...
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Profesa Maji Marefu akishiriki kufyetua matofali 10000 ambayo baadae yatagawiwa kwa kata 29 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na zahanati ikiwemo nyumba za wafanyakazi wa serikali baada ya kupata saruji mifuko 200 kutoka kwa Mohamed MO na Hoza Farm naye amempa mifuko mingine 100

Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akishiriki kufyetua matofali 10000 ambayo baadae yatagawiwa kwa kata 29 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na zahanati ikiwemo nyumba za wafanyakazi wa serikali

Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Profesa Maji Marefu akiwa kwenye harakati za kufyetua matofali hayo

Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Profesa Maji Marefu akibeba tofali mara baada ya kulifyetua

Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Profesa Maji Marefu akiendelea na kazi

Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Profesa Maji Marefu mwenye shati la njano akishiriki kufyatua matofali na viongozi wa CCM Korogwe Vijijini.
COMMENTS