MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU MAHUSUSI WA KOROSHO TANZANIA
HomeUchumi

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU MAHUSUSI WA KOROSHO TANZANIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wadau mahususi wa korosho katika hotel ya Tanga Beach mjini Tanga unaolenga kutoa ...


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wadau mahususi wa korosho katika hotel ya Tanga Beach mjini Tanga unaolenga kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza 0ctober 01, 2017 ambapo mkutano huo ulihusisha wakuu wa mikoa inayolima zao la Korosho,wilaya na Halmashauri.

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,Dkt Charles Tizeba akizungumza katika mkutano huo unaolenga kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza Octoba 1 mwaka huu. 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) Hassani Jarufu akizungumza wakati wa mkutano huo unaolenga kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza 0ctober 01, 2017 ambapo mkutano huo ulihusisha wakuu wa mikoa inayolima zao la Korosho, wilaya na Halmashauri .
Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Anna Abdallah akizungumza wakati wa mkutano huo unaolenga kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza October 01, 2017 ambapo mkutano huo ulihusisha wakuu wa mikoa inayolima zao la Korosho,wilaya na Halmashauri .
Wasjhiriki wa mkutano huo wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo 
Wadau wakifuatilia makrabasha mbalimbali kwenye mkutano huo.

Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo,Alhaj Majid Mwanga kushoto akifurahia jambo wakati wa mkutano huo
Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Kikwete kulia akiteta jambo na baadhi wa washiriki wa mkutano huo leo uliofanyika kwenye hotel ya Tanga Beach Resort mjini Tanga.
Mbunge wa Jimbo la Mtama (CCM) Nape Mnauye akiteta jambo kabla ya kuanza kikao hicho
Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini (CCM) Hawa Ghasia akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Mlalo (CCM) Rashidi Shangazi wakati wa kikao hicho mapema leo ambao ulifunguliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akisalimia na Mbunge wa Jimbo la Chalinze (CCM) Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao hicho
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto ,Ummy Mwalimu akisaliana na Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku kabla ya kuanza mkutano huo


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Chalinze (CCM) Ridhiwani Kikwete

Sehemu wa washiriki wa mkutano huo wakifuatilia matukio mbalimbali
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso akifuatilia kwa umakini mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa umakini 
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Mathew Mtigumu katikati akimsikiliza kwa umakini Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi wakati wa kikao hicho kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano Mazingira,Januari Makamba

Baadhi ya washiriki wakiendena na mkutano 

Sehemu ya washirki wakifuatilia mkutano huo.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi wengine wa serikali wakiwa katika akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo. 

(Habari na Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU MAHUSUSI WA KOROSHO TANZANIA
MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU MAHUSUSI WA KOROSHO TANZANIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinpt__PZ7GYwCI9t6T9AC6FJg88xmuzs5ymSivbluSs1uA8Ta6r7PRBtHbcolOGgOx0xjdfIrggWFP9aq2_UpulwXg-GD3LFlA1amnAC3bdvliZnqWIwCAvWhDODOolhWT4mGhYTQrFjtP/s640/IMG_5888.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinpt__PZ7GYwCI9t6T9AC6FJg88xmuzs5ymSivbluSs1uA8Ta6r7PRBtHbcolOGgOx0xjdfIrggWFP9aq2_UpulwXg-GD3LFlA1amnAC3bdvliZnqWIwCAvWhDODOolhWT4mGhYTQrFjtP/s72-c/IMG_5888.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/majaliwa-afungua-mkutano-wa-wadau.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/majaliwa-afungua-mkutano-wa-wadau.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy