KAMISHNA MSTAAFU WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KUAGWA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nchini – Thobias Andengenye, ataongoza Maafisa na Askari katika zoezi la kuuaga mwil...



Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nchini – Thobias Andengenye, ataongoza Maafisa na Askari katika zoezi la kuuaga mwili wa Marehemu na kutoa heshima za mwisho (Kwa Paredi Maalum), kwa aliyekuwa Kamishna Mstaafu wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CF (OPS) Rogatius Peter Kipali, ambaye alifariki dunia Semptemba 7, 2017 akiwa nyumbani kwake Mombasa, Ukonga Jijini Dar es Salaam.

Zoezi la kuuaga mwili wa Marehemu litafanyika kesho Semptemba 10, 2017 kuanzia saa 3:00 asubuhi katika viwanja vya Kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Ilala eneo la (FIRE) Jijini Dar es Salaam.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anapenda kuvitaarifu Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Maafisa, Askari na Watumishi wote wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, familia ya Marehemu na wale wote walioguswa na msiba huu kwa namna moja au nyingine kujitokeza kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho.

IFUATAYO NI RATIBA NZIMA YA MSIBA




Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe
    Amina.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI.


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMISHNA MSTAAFU WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KUAGWA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM.
KAMISHNA MSTAAFU WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KUAGWA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhFRKb7X1_WKK7Ydin4prdwi9UN3E2zlylgi748f98iuhigR7XWjbOxRVOas4wmVACG7-ZNm6RJbYveEi09KJGBzQVK_724p3dcBbGwojpL9dhxtIeYFIQMWcU7X3LsRkvv8NEvGOalHVg/s640/MAREHEMU+KAMISHNA+MSTAAFU+ROGATIUS+KIPALI.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhFRKb7X1_WKK7Ydin4prdwi9UN3E2zlylgi748f98iuhigR7XWjbOxRVOas4wmVACG7-ZNm6RJbYveEi09KJGBzQVK_724p3dcBbGwojpL9dhxtIeYFIQMWcU7X3LsRkvv8NEvGOalHVg/s72-c/MAREHEMU+KAMISHNA+MSTAAFU+ROGATIUS+KIPALI.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/kamishna-mstaafu-wa-operesheni-wa-jeshi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/kamishna-mstaafu-wa-operesheni-wa-jeshi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy