ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI A
HomeJamii

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI A

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana Viongozi mbali mbali wakati alipo...





Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Skuli ya msingi Kihinani Jimbo la Mfenesini kuweka jiwe la msingi Jengo jipya la Skuli hiyo leo akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua pazia kama ishara ya kuweka jiwe la Msingi Jengo jipya la Skuli ya msingi Kihinani leo akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.


Baadhi ya wananchi na Wazee wa Wanafunzi wa Skuli ya msingi Kihinani jimbo la Mfenesini wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Jengo jipya la Skuli hiyo leo iliyowekwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani )akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,

Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Kihinani walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipokuwa akizungumza na Wanafunzi hao pamoja na Wazee wakati wa Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo jipya katika Skuli hiyo leo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wananchi, Wazee na Wanafunzi wakati wa Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo jipya katika Skuli ya msingi Kihinani jimbo la Mfenesini leo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kulia) Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma na (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wananchi, Wazee na Wanafunzi wakati wa Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo jipya katika Skuli ya msingi Kihinani jimbo la Mfenesini leo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) alipofika kutembelea Ofisi ya Walimu mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Jengo jipya katika Skuli ya msingi Kihinani jimbo la Mfenesini leo,akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo (kulia) Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma na (kushoto) Mwalimu Mkuu wa Skuli hiyo Bi. Mafunda Juma Khamis.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Nd, Mwinyiussi (katikati) wakati alipofika kutembelea Mradi wa Visima vya Maji Safi na salama katika Shehia ya Bumbwisudi leo alipofanya ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo (kulia) Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Mhe. Salama Aboud Talib.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) alipofuatana na Viongozi mbali mbali wakati alipofika kutembelea Mradi wa Visima vya Maji Safi na salama katika Shehia ya Bumbwisudi leo alipofanya ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.

Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Mhe. Salama Aboud Talib alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipotembelea Mradi wa Visima vya Maji Safi na salama katika Shehia ya Bumbwisudi leo alipofanya ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI A
ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI A
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/08/DSC_9755.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/ziara-ya-rais-dkshein-wilaya-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/ziara-ya-rais-dkshein-wilaya-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy