Mshabiki wa timu ya Yanga akionekana ni mwenye huzuni sana baada ya timu yake kutoka sare ya bao 1-1 na timu ya Lipuli katika mchezo...
Mshabiki wa timu ya Yanga akionekana ni mwenye huzuni sana baada ya timu yake kutoka sare ya bao 1-1 na timu ya Lipuli katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
|
Beki wa Timu ya Lipuli, Asante Kwasi akiangalia namna ya kumchomoka mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Kiungo mkabaji wa Yanga, Papy Tshishimbi akiondoka na mpira mbele ya mabeki wa timu ya Lipuli, katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Beki wa Yanga, Kelvin Yondani na Mshambuliaji wa timu ya Lipuli, Ramadhan Madebe wakiruka juu kwa pamoja kuwania mpira wa juu, wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Kipa wa Yanga, akiondosha moja ya hatari langoni mwake.
Beki wa Lipuli, Novalty Lufunga akizuia mpira uliokuwa ukielekezwa lakongi kwake.
Kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko akichezewa rafu na Beki wa Lipuli, Novalty Lufung, wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Malimi Busungu wa Lipuli Fc, akimdhibiri Kiungo mkabaji wa Yanga, Papy Tshishimbi wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Beki wa Timu ya Lipuli, Asante Kwasi akiwa chini huku akiusindikiza mpira kwa macho baada ya kupigwa chenga ya mwili na Juma Abdul wa Yanga, wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akijaribu kumpiga chenga, Beki wa Timu ya Lipuli, Asante Kwasi, wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
COMMENTS