KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA MIKOA.
HomeJamii

KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA MIKOA.

                  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA                   WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI ...

SERIKALI YAWAASA VIONGOZI WA DINI KUEPUKE MIGOGORO
RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMESALI IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA SHEREHE YA PENTEKOSTE KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM.
MWANDISHI MATHIAS CANAL APEWA TUZO YA HESHIMA NA ASASI YA WAZALENDO NA MAENDELEO TANZANIA (AWAMATA)



                  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                  WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI


Simu ya maandishi: “ZIMAMOTO KUU”
Simu Nambari:  +255-22-2181093
Telefax:          + 255-22-2184569



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Bara, Thobias Andengenye, amefanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa na Wakuu wa Vitengo wa Jeshi hilo.
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi (ACF) Bakari Mrisho, amekuwa Mkuu wa Chuo na Mafunzo, nafasi yake inachukuliwa na Mrakibu (SF) Kennedy Komba, ambaye alikuwa Kamanda wa Zimamoto Mkoa wa Iringa na nafasi yake inachukiliwa na Mrakibu Msaidizi (ASF) James John toka Makao Makuu.
Kamanda wa Mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi (ACF) Gilbert Mvungi, amekuwa Kamanda wa Zimamoto Mkoa wa Kigoma, nafasi yake inachukuliwa na Kamishna Msaidizi (ACF) Baraza Mvano ambaye alikuwa Kamanda wa Zimamoto Mkoa wa Kigoma.
Kamanda wa Viwanja vya Ndege  Nchini, Kamishna Msaidizi (ACF) Juma Kwiyamba amehamishiwa Makao Makuu, nafasi yake inachukuliwa na Kamishna Msaidizi (ACF) Christom Manyologa.
Kamishna Msaidizi (ACF) Fikiri Salla amekuwa Kamanda wa Mkoa wa Mbeya, anajaza nafasi iliyokuwa wazi baada ya Kamanda wa Zimamoto Mkoa wa Mbeya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  kuwa Kamishna wa Usalama dhidi ya Moto.
Kamanda wa Zimamoto Mkoa wa Pwani, Mrakibu Msaidizi (ASF) Goodluck Zelote amekuwa Kamanda wa Zimamoto Mkoa wa Tanga, nafasi yake inachukuliwa na Mrakibu Msaidizi (ASF) Happy Shirima toka Makao Makuu.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Bara, Thobias Andengenye

Mrakibu Msaidizi (ASF) Fatma Ngenya amekuwa Kamanda wa Zimamoto Mkoa wa Manyara, anachukua nafasi ya Mkaguzi Msaidizi (A/INSP) Heriel Kimaro ambaye amehamishiwa Makao Makuu.
Uhamisho huo ni Mabadiliko ya kawaida yanayotokea ndani ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, katika kuongeza ufanisi wa utendaji kazi.  
Imetolewa na;
KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA,
MAKAO MAKUU.
16 AGOSTI, 2017.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA MIKOA.
KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA MIKOA.
https://docs.google.com/drawings/u/0/d/sPlcfHwWzoVxLXKsuMidszA/image?w=261&h=88&rev=1&ac=1
https://lh5.googleusercontent.com/jG1i-Xx4ZRuhwIGeJEiHtoSOo8OZtPbD_og4S_4xObjc25HWVZe5QxmRZY6DGyu5l6-p3g8s6L8TxTVXN9n0s_iACQl2gE3sUNZX0j9KoOzkE2bTip96tUh0e_ec6z7LwY_nV9OSw_fhCgr0_Q=s72-c
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/kamishna-jenerali-wa-jeshi-la-zimamoto_16.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/kamishna-jenerali-wa-jeshi-la-zimamoto_16.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy