MWAKILISHI WA TUNGU MHE SIMAI MOHAMMED NA MBUNGE WA JIMBO HILO MHE KHALIFA SALUM WASHIRIKI UJENZI WA SOKO LA SAMAKI NA KUKABIDHI MABATI YA UJENZI WA SOKO HILO

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akiwa na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe Khalafa Salum Suleima wakishiriki ka...




Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akiwa na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe Khalafa Salum Suleima wakishiriki katika ujenzi wa Taifa wa kujenga Soko la Samaki katika ufukwe wa pwani ya Kijiji cha Tindini Unguja Ukuu Zanzibar Wilaya ya Kati Unguja, wakikata majengo ya kuezekea bati katika soko hilo. Pia wamekabidhi mabati kwa ajili ya ujenzi huo ili kutowa mazingira mazuri ya Soko hilo wakati wa kufanya mnada wa samaki kwa wavuvi wanaporudi baharini kuvua.
Wananchi wa Kijiji cha Tindini Unguja Ukuu wakishirikiana na Mbunge wao na Mwakilishi katika ujenzi wa Taifa wa Soko la Samaki katika ufukwe wa Bahari ya Unguja Ukuu Zanzibar.

Mbunge nas Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said ma Mhe Khalifa Salum Suleiman wakikabidhi mabati kwa Katibu Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Bi. Sauda Ramadhani, hafla hiyo ya makabidhiano ya Mabati hayo na miti yamefanyika katika viwanja vya Soko hilo Kijiji cha Tindini Unguja Ukuu Wilaya ya Kati Unguja Mkoa wa Kusini.
Wananchi wa Kijiji cha Tindini wakishiriki katika ujenzi wa Soko la Samaki Tindini likiwa katika hatua ya kuezeka.na kuhudumiwa wananchi wavuvi wa kijiji hicho kuuzia samaki wao.. 
Wananchi wa Kijiji cha Tindini wakishiriki katika ujenzi wa Soko la Samaki Tindini likiwa katika hatua ya kuezeka.na kuhudumiwa wananchi wavuvi wa kijiji hicho kuuzia samaki wao

Kiongozi wa Kijiji cha Tindini akitowa maelezo ya ujenzi wa Soko hilo la Samaki katika ufukwe wa bahari yao litakalotowa huduma ya kuuzia samaki kwa wavuvi katika soko la mnada. 
Mwakilishi wa Jimbo las Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya ujenzi kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa Soko la Samaki katika kijiji cha Tindini Unguja Ukuu Wilaya ya Kati Unguja na kuwataka wananchi wa maeneo hayo kulitumia soko hilo kwa shughuli zao za biashara ya samaki na minada kwa wavuvi wanaorudi bahari kuvua.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar akisisitiza jambo wakati wa hafla hiyo kwa Wananchi wa Jimbo lake. 
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Bi Sauda Ramadhani akizungumza wakati wa hafla hiyo ujenzi wa taifa na kukabidhi mabati na vifaa vya ujenzi wa Soko la Samaki katika Kijiji cha Tindini Unguja Ukuu Wilaya ya Kati Unguja.


Wananchi na wavuvi wa kijiji cha Tindini Unguja Ukuu wakimsikiliza mgeni rasmin wakati wa hafla hiyo ya ujenzi wa Taifa na kukabidhi mabati kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa Soko hilo.
Katibu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja akiwa katika picha ya pamoja na Mbunge na Mwakilishi na Wananchi wa Kijiji cha Tindini Unguja Ukuu baada yas hafla hiyo.
(Imetayarishwa na Othman Mapara.Blogspots.com
Zanzinewes.com. Email.othmanmaulid@gmail.com)  

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MWAKILISHI WA TUNGU MHE SIMAI MOHAMMED NA MBUNGE WA JIMBO HILO MHE KHALIFA SALUM WASHIRIKI UJENZI WA SOKO LA SAMAKI NA KUKABIDHI MABATI YA UJENZI WA SOKO HILO
MWAKILISHI WA TUNGU MHE SIMAI MOHAMMED NA MBUNGE WA JIMBO HILO MHE KHALIFA SALUM WASHIRIKI UJENZI WA SOKO LA SAMAKI NA KUKABIDHI MABATI YA UJENZI WA SOKO HILO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhypKrcW__EiI4DTmRMGsyGUMAX3fboHXiP2b4mIqhtKJAK5yLoI3Hb4O5boLChxLnBYwGuZql33e7gPWhu5q6EE0jxDkmv-YmEnT789Wb1-b-z46cumQozdj_giMApsvNHqmFUrO0yBH8/s640/DSC_0740.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhypKrcW__EiI4DTmRMGsyGUMAX3fboHXiP2b4mIqhtKJAK5yLoI3Hb4O5boLChxLnBYwGuZql33e7gPWhu5q6EE0jxDkmv-YmEnT789Wb1-b-z46cumQozdj_giMApsvNHqmFUrO0yBH8/s72-c/DSC_0740.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mwakilishi-wa-tungu-mhe-simai-mohammed.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mwakilishi-wa-tungu-mhe-simai-mohammed.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy