Bondia Shabani Kaoneka (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhan Alfani wakati wa mpambano wao Kaoneka alishin...
Bondia Shabani Kaoneka (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhan Alfani wakati wa mpambano wao Kaoneka alishinda kwa K,O ya Raundi ya kwanza.
Shabani Kaoneka akiinuliwa mkono na kutangazwa kuwa mshindi. |
Bondia Fred Sayuni kushoto akipambana na Mbayo Ilunga wakati wa mchezo wao uliofanyika katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es Salaam. Sayuni alishinda kwa K,O raundi ya pili. |
Bondia Henry Wandela (kushoto)
akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Thomas Mashali wakati wa
mpambano wao Mashali alishinda kwa K,O ya raundi ya pili. (Picha na SUPER D BLOG)

COMMENTS