Mwenge wa Uhuru ukiwasili katika bustani ya Mnara wa Askari uliopo kati ya barabara ya Azikiwe na Samora kwa ajili ya ya uzinduzi wa...
Baadhi
ya wananchi wakishuhudia tendo la uzinduzi wa bustanai ya mnara wa
Askari uliopo kati ya barabara ya Azikiwe na Samora mapema hii leo
jijini Dar es Salaam.
|
Muonekano
wa Mnara wa Askari uliopo kati ya barabara ya Azikiwe na Samora mara
baada ya kuzinduliwa mapema hii leo na Kiongozi wa Mbio za Mwenge
kitaifa 2017, Amour Hamad Amour.
|
Muonekano wa Mnara wa Askari uliopo kati ya barabara ya Azikiwe na Samora mara baada ya kuzinduliwa mapema Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017, Amour Hamad Amour. |
COMMENTS