MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI YAADHIMISHWA ZANZIBAR

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mohmoud Thabit Kombo akipokea maandamano ya Wakunga na Wauguzi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wakunga Dun...


Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mohmoud Thabit Kombo akipokea maandamano ya Wakunga na Wauguzi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.


Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akiwa na Viongozi wa Wizara ya Afya na Jumiya ya Wakunga, Wauguzi na Wadau wa Afya Tanzania wakati wakipokea maandamano ya Wakunga na Wauguzi katika viwanja vya ZBC Redio rahaleo Zanzibar.  
Wauguzi na Wakunga wakipita mbeli ya mgeni rasmin Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud
Thabit Kombe katika viwanja vya ZBC Redio rahaleo wakati wa maadhimishi ya siku
hiyo maalum kwao
Wauguzi na Wakunga wakipita mbeli ya mgeni rasmin Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombe katika viwanja vya ZBC Redio rahaleo wakati wa maadhimishi ya siku hiyo maalum kwao


Wauguzi na Wakunga wakipita mbeli ya mgeni rasmin Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombe katika viwanja vya ZBC Redio rahaleo wakati wa maadhimishi ya siku hiyo maalum kwao
MC wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wakunga Zanzibar akisoma utaratibu wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar 




Kaimu Msaidizi wa Mrajisi wa Wauguzi na Wakunga Zanzibar Ndg. Rajab Mussa akisoma kiapo cha wauguzi na wakunga wakati wa hafla hiyo ya maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yaliofanyika katika ukumbi wa sanaa rahaleo Zanzibar yalioaza kwa maandamano ya Wakunga na Wauguzi Zanzibar.  
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakunga Zanzibar Bi Amina Abdulkadir Rajab akizungumza wakati wa
maadhimishi ya Siku ya Wakunga Duniani yalioadhimishwa katika ukumbi wa Sanaa
rahaleo kwa maandamano yaliopokelewa na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mahmoud
Thabit Kombo
Mwakilishi wa Jumuiya ya Tanzania Midwives Assossiotion Bi Priscilah Godwin akitowa salamu za TAMA wakati wa hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wauguzi Zanzibar Bi Valeria Rashid akitowa salamu za jumuiya yao wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yalioadhimisha Zanzibar katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar. 
.
Rais wa Jumuiya ya CHORA (Construction Health and Relief Acts) Bi Carol Mcdonald
akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yaliofanyika
katika ukumbi wa sanaa rahaleo Zanzibar
Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la UNFPA Bi Sabina Luoga akitowa salamu za Shirika lake wakati wa maadhimishi ya Siku ya Wakunga Duniani katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar katika hafla hiyo.
Waziri wa Afya Zanzibar akiwahutubia Wauguzi na Wakunga wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani, na kutowa nasaha zake kwa Wauguzi na Wakunga katika utowaji wao wa huduma kwa Mama na watoto, wakati wa kutowa huduza zao katika jamii.   


Baadhi ya wageni waalikwa na wadau wa sekta ya Afya Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani.
Washiriki wa hafla ya kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani wakimsikiliza Waziri wa Afya
Zanzibar Mhe. Mohmuod Thabit Kombe akiwahutubia na kutowa nasaha zake kwa
waugunzi na wakunga katika kutowa huduma kwa wananchi wakiwa katika ukumbi wa
sanaa rahaleo
Viongozi wa Wakunga na Wauguzi wakifuatilia hutuba ya Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani huadhimishwa kila mwezi wa Mei 5, Duniani kote, hafla hiyo ya maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa sanaa rahaleo Zanzibar.
Imeandaliwa na Othmanmapara.Blog.com
Zanzinews.com
Email othmanmaulid@gmail.com

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI YAADHIMISHWA ZANZIBAR
MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI YAADHIMISHWA ZANZIBAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6Vn-NQGnGYE8qHWAmLIOQq6QvpCVhGTaOvVywL4vVjYAqrwbB0WKTYS0-LCENe4f2zvZVUepWnpINAeAXZNAdyX7QIh9S-rTG02hq8JIIh4IheloPLPZrW3jpP11bBogldWWEV8re7FY/s640/DSC_0463.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6Vn-NQGnGYE8qHWAmLIOQq6QvpCVhGTaOvVywL4vVjYAqrwbB0WKTYS0-LCENe4f2zvZVUepWnpINAeAXZNAdyX7QIh9S-rTG02hq8JIIh4IheloPLPZrW3jpP11bBogldWWEV8re7FY/s72-c/DSC_0463.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/05/maadhimisho-ya-siku-ya-wakunga-duniani.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/maadhimisho-ya-siku-ya-wakunga-duniani.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy