Mkurugenzi Matendaji wa HakiElimu, John Kalage akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa HakiElimu j...
Mkurugenzi Matendaji wa HakiElimu, John Kalage akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa HakiElimu juu ya utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam.
COMMENTS