PELEKENI WATUMISHI WAKAPIGWE MASASA TPSC- WAZIRI KAIRUKI

Na Barnabas Lugwisha,Tabora Serikali imewaagiza waajiri wote na watumishi wa umma kwa ujumla wao, kukitumia chuo cha Utumishi wa Umma Tanz...

Na Barnabas Lugwisha,Tabora

Serikali imewaagiza waajiri wote na watumishi wa umma kwa ujumla wao, kukitumia chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kwa mafunzo mbalimbali yanayolenga kuboresha fani na taaluma zilizopo katika sehemu za kazi.

Akizungumza mwishoni mwa wiki katika mahafali ya 26 ya TPSC Mkoani Tabora, Waziri wa nchi Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora) Angellah Kairuki, akisema Chuo hicho kikitumiwa ipasavyo, ufanisi sehemu za kazi utaongezeka.

“Kwa nafasi yangu kama waziri mwenye dhamana ya utumishi wa umma na kwa kushirikiana na viongozi wenzangu, tunaahidi kukijengea chuo uwezo na kukiongezea ufanisi katika utoaji huduma ya taaluma bora na ujuzi katika maeneo yetu ya kazi,”alisema.

Alisema serikali siku zote imejitahidi kuhakikisha kwamba TPSC inatoa kozi ambazo zinatambulika katika mfumo wa elimu ili wahitimu waweze kukubalika katika soko la ajira badala serikali peke yake.
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora) Angellah Kairuki akizungumza wakati ma mahafali ya 26 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania(TPSC) mjini Tabora hivi karibuni.

Meza kuu, akiwamo Mtendaji Mkuu wa TPSC Dk.Henry Mambo (Wa tatu kushoto) akifuatilia hotuba ya Waziri wa nchi Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora) Angellah Kairuki wakati wa mahafali ya 26 ya TPSC yaliyofanyika TPSC tawi la Tabora mwishoni mwa wiki.

Mkurugenzi wa Chuo Cha Utumishi wa Umma, Tawi la Tabora, Hussein Simon Lufunyo, akimweleza jambo Waziri wa nchi Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora) Angellah Kairuki wakati Waziri huyo alipotembelea jingo la chuo hicho linalojengwa kwa ajili ya madarasa na ofisi,wa pili kushoto Dk.Charles Msonde Mwenyekiti wa Bodi ya Taaluma ya chuo hicho, Wa nne kushoto ni Mtendaji Mkuu wa TPSC Dk. Henry Mambo.

Mtendaji Muu wa TPSC Dk.Henry Mambo akifuatilia kwa makini moja ya matukio wakati wa Waziri wa nchi Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora) Angellah Kairuki, alipotembelea jengo la ghorofa tawini hapo, jengo hilo litatumika kwa madarasa na ofisi.

Serikali imewaagiza waajiri wote na watumishi wa umma kwa ujumla wao, kukitumia chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kwa mafunzo mbalimbali yanayolenga kuboresha fani na taaluma zilizopo katika sehemu za kazi.

Akizungumza mwishoni mwa wiki katika mahafali ya 26 ya TPSC Mkoani Tabora, Waziri wa nchi Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora) Angellah Kairuki, akisema Chuo hicho kikitumiwa ipasavyo, ufanisi sehemu za kazi utaongezeka.

“Kwa nafasi yangu kama waziri mwenye dhamana ya utumishi wa umma na kwa kushirikiana na viongozi wenzangu, tunaahidi kukijengea chuo uwezo na kukiongezea ufanisi katika utoaji huduma ya taaluma bora na ujuzi katika maeneo yetu ya kazi,”alisema.

Alisema serikali siku zote imejitahidi kuhakikisha kwamba TPSC inatoa kozi ambazo zinatambulika katika mfumo wa elimu ili wahitimu waweze kukubalika katika soko la ajira badala serikali peke yake.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PELEKENI WATUMISHI WAKAPIGWE MASASA TPSC- WAZIRI KAIRUKI
PELEKENI WATUMISHI WAKAPIGWE MASASA TPSC- WAZIRI KAIRUKI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZeHI8dVEyMDGUwa8fVo4Mqs1ZSuuOEzgMHY2ApD3fDW9A0h1DrZPnb00QimsoKRNG2vyXZ5aHnBsbGLT98LZ2AWj2whS3I4M_4MmF7avSQDflb6ZWf7dnbF5LHYIKcmWVe_izGbYbxfo/s640/03.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZeHI8dVEyMDGUwa8fVo4Mqs1ZSuuOEzgMHY2ApD3fDW9A0h1DrZPnb00QimsoKRNG2vyXZ5aHnBsbGLT98LZ2AWj2whS3I4M_4MmF7avSQDflb6ZWf7dnbF5LHYIKcmWVe_izGbYbxfo/s72-c/03.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/pelekeni-watumishi-wakapigwe-masasa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/pelekeni-watumishi-wakapigwe-masasa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy