Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimia...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein
wakisalimiana Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Abeid Amani Karume wakati akirejea Nchini leo kutokea Indonesia katika
Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi
zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli,(Picha na
Ikulu)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na
Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana Wazee wa Chama cha Mapinduzi
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati akirejea
Nchini leo kutokea Indonesia katika Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa
Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN
ASSOCIATION-IORA) alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dk. John Magufuli.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati aliporejea nchini kutokea Nchini Indinesia na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Ujumbe aliofuatananao waliposhiriki katika Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA)alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli.
COMMENTS