TAKWIMU ZINAZOONESHA HALI YA UZAZI SALAMA NCHINI TANZANIA
 Karibia wanawake 67,000 walitibiwa katika vituo vya afya kwa ajili ya matatizo yanayotokana na utoaji mimba usio salama kwa mwaka 2013 nchini Tanzania. Hata hivyo, karibu wanawake wengine 100,000 ambao walipata matatizo yaliyohitaji tiba katika kituo cha afya hawakupata matibabu waliyohitaji. (Chanzo: guttmacher.org)
HomeJamii

TAKWIMU ZINAZOONESHA HALI YA UZAZI SALAMA NCHINI TANZANIA

 Karibia wanawake 67,000 walitibiwa katika vituo vya afya kwa ajili ya matatizo yanayotokana na utoaji mimba usio salama kwa mwaka 2013 n...

ZIARA YA WANAMKIKITA NCHINI THAILAND
NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AFANYA MKUTANO NA WAHARIRI ILI KUONGEZA UELEWA WA MIFUMO MIPYA KUHUSU UAGIZAJI WA MBOLEA KWA PAMOJA
WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AZINDUA KITABU KATIKA UFUNGUZI WA SHEREHE ZA KUADHIMISHA MIAKA 10 YA CHUO KIKUU ARDHI










Inakadiriwa kuwa, mimba 405,000 zilitolewa ndani ya mwaka
2013 nchini Tanzania. Idadi hii ni kiwango cha utoaji wa mimba 36 kwa kila
wanawake 1,000 wenye umri kati ya miaka 15-49 na uwiano wa utoaji mimba 21 kwa kila watoto 100 wanaozaliwa wakiwa hai.

•Nchini Tanzania, viwango vya utoaji mimba hutofautiana sana kwa ukanda, kutoka 11 kwa wanawake 1,000 kwa Zanzibar hadi 47 kwa Nyanda za Juu Kusini na 51 kwa Kanda ya Ziwa. Ukanda wa Ziwa na Nyanda za Juu Kusini huwa na viwango vya juu vya matibabu kwa matatizo yatokanayo na utoaji mimba pia.

ʉۢMwaka 2013, katika nchi nzima, 15% ya mimba zilitolewa, 52% katika uzazi uliokusudiwa, 18% katika uzazi usiokusudiwa na 15% katika mimba zilizoharibika. Mgawanyo huu hutofautiana kwa maeneo kwa mfano, uwiano wa mimba zilizotolewa ni kati ya 6% kwa Zanzibar hadi 18% kwa Nyanda za Juu Kusini. (Chanzo: guttmacher.org)





Kupunguza utoaji mimba usio salama na vifo vya wajawazito na majeraha yanayohusishwa na utoaji mimba, utahitaji kupanua upatikanaji wa huduma za uzazi wa mpango ili kuzuia mimba zisizotarajiwa, na kupanua upatikanaji wa huduma za baada ya kuharibika kwa mimba.


Vituo vya afya katika ngazi zote lazima viwe na dawa muhimu za kutosha, vifaa vya kutolea huduma za msingi za baada ya kuharibika kwa mimba, na watoa huduma wa kawaida wanapaswa wapewe mafunzo ya kutoa huduma hizo.


Utata kuhusu sheria ya utoaji mimba ya Tanzania unatakiwa ufafanuliwe ili kusaidia kuunga mkono taratibu salama na kisheria zitumike kikamilifu, na kuhakikisha kuwa wanawake hawana sababu ya kuamua kutumia njia zisizo salama kutoa mimba zao. 

(Chanzo: guttmacher.org)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAKWIMU ZINAZOONESHA HALI YA UZAZI SALAMA NCHINI TANZANIA
TAKWIMU ZINAZOONESHA HALI YA UZAZI SALAMA NCHINI TANZANIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixHkSUBZzLN3m2UiIIhfe4ysfVh073hCF2I4cBvBTpPBUvOBmY-R4XFmc9ExGLDjiGI1OTj-oXOtBsLXsFB_2rnDmEx7smL64b3KalqDMBL7rchyphenhyphenttMOu3oPlOvFgM5XUya0qN3RuPAEs/s640/WhatsApp+Image+2017-02-25+at+17.11.38.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixHkSUBZzLN3m2UiIIhfe4ysfVh073hCF2I4cBvBTpPBUvOBmY-R4XFmc9ExGLDjiGI1OTj-oXOtBsLXsFB_2rnDmEx7smL64b3KalqDMBL7rchyphenhyphenttMOu3oPlOvFgM5XUya0qN3RuPAEs/s72-c/WhatsApp+Image+2017-02-25+at+17.11.38.jpeg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/02/takwimu-zinazoonesha-hali-ya-uzazi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/takwimu-zinazoonesha-hali-ya-uzazi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy