WAKAZI WA MIJINI WAHIMIZWA KUJIKITA KWENYE BUSTANI ZA MAKOPO NA MIFUKO.
HomeMikoani

WAKAZI WA MIJINI WAHIMIZWA KUJIKITA KWENYE BUSTANI ZA MAKOPO NA MIFUKO.

#LakeFm Habari Wakazi wanaoishi maeneo ya mijini nchini wamehimizwa kujikita kwenye kilimo cha mbogamboga kwa kutumia masalia ya ...

MGODI WA ACACIA BUZWAGI WAKABIDHI VIFAA TIBA VYA MILIONI 22.4 KWA HOSPITALI YA MJI WA KAHAMA
RC SINGIDA MHANDISI MTIGUMWE AKUTANA NA WADAU WA KILIMO CHA PAMBA KUJADILI MAENDELEO YA KILIMO CHA ZAO HILO MKOANI HUMO
MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ARUSHA WAMSHANGAZA KAMANDA MPINGA







#LakeFm Habari

Wakazi wanaoishi maeneo ya mijini nchini wamehimizwa kujikita kwenye kilimo cha mbogamboga kwa kutumia masalia ya makopo na mifuko ya aina mbalimbali ili kuondokana na uchafunzi wa mazingira.



Mwanamama Victoria Buzare ambaye ni mjasiriamali kutoka Kata ya Buhongwa Jijini Mwanza, ameyasema hayo wakati akizungumza na Lake Fm huku akiongeza kwamba kilimo hicho pia kinawaepusha wanajamii na athari za kutumia mbogamboga zenye kemikali.



Amesema kilimo hicho kinagharimu mtaji kidogo hadi shilingi 5,000 ambazo mkulima anaweza kulima aina tatu za mbogamboga ikiwemo sukumawiki, nyanya chungu, biringanya na nyinginezo.



Buzare amewashauri wanafamilia wote wanaoishi mijini kuhakikisha wanakuwa na bustani za makopo na mifuko kwani ni salama kwa matumizi ya chakula na pia rahisi kusimamia ikizingatiwa ndoo moja ya maji kwa siku inatosheleza mahitaji yake.

Kwa maoni na ushauri ama swali, wasiliana na Victoria Buzare (pichani) kwa nambari za simu 0754 21 85 55.


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAKAZI WA MIJINI WAHIMIZWA KUJIKITA KWENYE BUSTANI ZA MAKOPO NA MIFUKO.
WAKAZI WA MIJINI WAHIMIZWA KUJIKITA KWENYE BUSTANI ZA MAKOPO NA MIFUKO.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgoIBdUdRoBGFW7wU6ibbH_yoZlHErk3jLZ7m2CIZg7JOoGp4Rolo8g6Pkj-qo9NTiqvVvfYAkmn9gBU5dR0UEyytB9w_EcmirIHWvuyeWktCrAzXYlEeZviAbLiWCVXRd4f0OeXnw3CJA/s640/Buzare+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgoIBdUdRoBGFW7wU6ibbH_yoZlHErk3jLZ7m2CIZg7JOoGp4Rolo8g6Pkj-qo9NTiqvVvfYAkmn9gBU5dR0UEyytB9w_EcmirIHWvuyeWktCrAzXYlEeZviAbLiWCVXRd4f0OeXnw3CJA/s72-c/Buzare+1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/wakazi-wa-mijini-wahimizwa-kujikta.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/wakazi-wa-mijini-wahimizwa-kujikta.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy