Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) (Kulia) akiwaeleza Wajumbe wa Kam...
Mwenyekiti
wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone
Kaboyoka (Mb) (Kulia) akiwaeleza Wajumbe wa Kamati yake kuhusu mada
zinazojadiliwa katika Mafunzo ya kuwajengea Uwezo kwa wajumbe hao kuhusu
majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) yaliyowakutanisha wajumbe wa
Kamati hiyo leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania
(BoT) jijini Dar es Salaam.
Naibu
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Dkt. Natu Mwamba (mwenye kilemba)
akiwafafanulia Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali kuhusu majukumu
ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kabla ya kuanza uwasilishwaji mada wakati
wa mafunzo yaliyowakutanisha Wajumbe wa Kamati hiyo leo 13 Januari,
2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Dar es Salaam.
Wajumbe
wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakifuatilia mada kuhusu majukumu
mbalimbali ya Benki ya Tanzania (BoT) zikizowasilishwa na baadhi ya
Wajumbe wa Kamati hiyo wakati walipohudhuria mafunzo ya kuwajengea uwezo
toka BOT yaliyofanyika leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu
ya Tanzania (BoT) jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wajumbe Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiwasilisha mada kuhusu
majukumu mbalimbali ya Benki ya Tanzania (BOT) mbele ya Mwenyekiti na
naibu Gavana wa BoT leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya
Tanzania (BoT) jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA OFISI YA BUNGE-DAR ES
SALAAM)
COMMENTS