MA RC NA DC WAAGIZWA KUHAKIKISHA WANACHUKUWA HATUA DHIDI YA TATIZO LA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI NCHINI
HomeJamii

MA RC NA DC WAAGIZWA KUHAKIKISHA WANACHUKUWA HATUA DHIDI YA TATIZO LA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akizindua kitabu cha Mwongozo wa...

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE IMEITAKA SERIKALI KUHAKIKISHA INATOA FEDHA ZA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA ABIRIA NAMBA TATU
JUKWAA LA WAHARIRI LATANGAZA KUSUSIA KUANDIKA HABARI ZA MAKONDA
BOMOA BOMOA KANDO YA RELI YALIKUMBA ENEO LA KURASINI DAR


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akizindua kitabu cha Mwongozo wa Taifa wa Utekelezaji wa Sera za Huduma kwa watoto waliokatika mazingira hatarishi kwa Serikali za Mitaa leo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Misaada na Maendeleo la Marekani (USAID) nchini Tanzania Tim Donnay, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Theresia Mmbando, Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Zainab Chaula.
 
 
 
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Theresia Mmbando akimkabidhi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kitabu cha Mwongozo wa Taifa wa Utekelezaji wa Sera za Huduma kwa Watoto waliokatika mazingira hatarishi kwa Serikali za Mitaa leo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Zainab Chaula (wa pili kulia).
 
 

Baadhi ya washiriki wa mkutano baina ya USAID na TAMISEMI uliofanyika katika ofisi za TAMISEMI jijini Dar es Salaam wakifuatilia hoja kutoka kwa wasilishaji wa mada leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Andrew Komba akichangia mada wakati wa mkutano baina ya TAMISEMI na USAID kuhusu Afya ya mama na motto leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Misaada na Maendeleo la Marekani (USAID) nchini Tanzania Tim Donnay mara baada ya kumaliza mkutano kuhusu Afya ya Mama na Mtoto leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja washiriki wa mkutano baina ya TAMISEMI na USAID kuhusu Afya ya mama na mtoto leo jijini Dar es Salaam.Kutoka Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki, Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Misaada na Maendeleo la Marekani (USAID) nchini Tanzania Tim Donnay, Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Zainab Chaula na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Theresia Mmbando.

Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MA RC NA DC WAAGIZWA KUHAKIKISHA WANACHUKUWA HATUA DHIDI YA TATIZO LA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI NCHINI
MA RC NA DC WAAGIZWA KUHAKIKISHA WANACHUKUWA HATUA DHIDI YA TATIZO LA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI NCHINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBQkNmFQuG6tKmh5cGHcBVeikhN0HIgXL7JyHNFpG8nZoSrD4iJHvthyphenhyphenlNRgU-RPgLoTX6pwepnVBHc4kPWdFoMZ6MiPMJsL8W3MssFDP620MztWCwJLiQ0IsNoE2X4DMP7k17VWif4JA/s640/SEDO.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBQkNmFQuG6tKmh5cGHcBVeikhN0HIgXL7JyHNFpG8nZoSrD4iJHvthyphenhyphenlNRgU-RPgLoTX6pwepnVBHc4kPWdFoMZ6MiPMJsL8W3MssFDP620MztWCwJLiQ0IsNoE2X4DMP7k17VWif4JA/s72-c/SEDO.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/ma-rc-na-dc-waagizwa-kuhakikisha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/ma-rc-na-dc-waagizwa-kuhakikisha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy