KIVUTIO CHA KITALII CHA ZANZIBAR: ERNIE ELS DESIGN YASAINI MKATABA NA ZANZIBAR AMBER RESORT KUJENGA UWANJA WA GOFU WA KIMATAIFA ZANZIBAR.
HomeUchumi

KIVUTIO CHA KITALII CHA ZANZIBAR: ERNIE ELS DESIGN YASAINI MKATABA NA ZANZIBAR AMBER RESORT KUJENGA UWANJA WA GOFU WA KIMATAIFA ZANZIBAR.

 Mkurugenzi wa Zanzibar Amber Resort, Saleh Mohammed Said akitia saini mkataba wa makubaliano na mcheza Gofu duniani Ernie Els amb...

MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA MAENDELEO (UNDP)
NHC YAIBUKA KIDEDEA MAOMBI YA MBOWE HOTELS YATUPILIWA MBALI
MKUU WA MKOA WA MWANZA AZINDUA MELI MPYA NA YA KISASA YA MV NYEHUNGE II.







 Mkurugenzi wa Zanzibar Amber Resort, Saleh Mohammed Said akitia saini mkataba wa makubaliano na mcheza Gofu duniani Ernie Els ambae ana kampuni ya Ernie Els Design huko Afrika Kusni leo 
 Mkurugenzi wa Zanzibar Amber Resort, Saleh Mohammed Said akiwa pamoja  na mcheza Gofu maarufu duniani Ernie Els ambae ana kampuni ya Ernie Els Design huko Afrika Kusni leo wakati wa utiaji saini makubaliano ya kujenga kiwanja kikubwa cha Gofu Zanzibar
 Mkurugenzi wa Zanzibar Amber Resort, Saleh Mohammed Said akisalimiana  na mcheza Gofu maarufu duniani Ernie Els ambae ana kampuni ya Ernie Els Design huko Afrika Kusni leo wakati wa utiaji saini makubaliano ya kujenga kiwanja kikubwa cha Gofu Zanzibar

‘Kivutio hicho cha utalii kitakua cha kwanza cha aina yake Afrika ya Mashariki’ 

Zanzibar, Tanzania, Afrika ya Mashariki
Januari 13, 2017 

Ernie Els Design inafuraha kutangaza imekamilisha makubaliano na Zanzibar Amber Resort
na sasa ipo katika hatua ya kwanza ya ujenzi wa kiwanja hicho chenye hadhi ya kimataifa
ambacho ni cha kwanza cha aina yake Afrika ya Mashariki.

 Ujenzi unakusudiwa kuanza
mwaka 2017. Kiwanja hiki kitakuwa Kaskazini-Mashariki mwa kisiwa cha Zanzibar.
Ernie Els anasema, “Kama mbunifu wa viwanja vya gofu, ninajisikia mwenye bahati kubwa
kufanya kazi na Zanzibar Amber Resort. Na kutunukiwa baadhi ya mandhari nzuri za Bahari
ya Hindi kwa kweli ni fursa kubwa kwetu. 

Wateja wetu na mimi tuna mtazamo unaofanana
na ninao uhakika kuwa kazi yetu hapa itaandaa viwango vipya, ikiacha urithi kwa Zanzibar
na wachezaji wa gofu kwa ujumla”.

 Kiwanja hichi kitakua mojawapo ya vivutio vingi vitakavyo jengwa kwenye eneo lenye
ukubwa wa ekari 638, na kupakana na kilomita 4 za fukwe ya Bahari ya Hindi. Zanzibar
Amber Resort itakua na mahoteli matano za kimataifa na nyumba za aina mbali mbali za
kifahari. 

Haki miliki za nyumba zitatolewa kwa kipindi cha miaka tisini na tisa (99), na fursa ya
nyongeza ya miaka arobaini na tisa (49) kwa wazawa na wageni. 

Zanzibar Amber Resort iko karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ya Zanzibar ambalo
linahudumiwa na mashirika ya ndege za Qatar, Uturuki, Condor, Kenya na Ethiopia.

 Brian Thomson & Saleh Said, Wakurugenzi wa Zanzibar Amber Resort waliongezea, “Tulivyoanza mijadala na Ernie, tulibaini kuwa tuna mtazamo unaofanana, wakujengakujenga kiwanja cha kimataifa cha kipekee ambayo itachochea zaidi uzoefu wa mchezo huu
kwa wachezaji wote.

 Uwepo wa kiwanja cha gofu kilicho tengenezwa na Ernie Els Design na hoteli za kimataifa kama vile Anantara na nyinginezo, itachochea utalii wa kifahari wa kipekee kisiwani hapo.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KIVUTIO CHA KITALII CHA ZANZIBAR: ERNIE ELS DESIGN YASAINI MKATABA NA ZANZIBAR AMBER RESORT KUJENGA UWANJA WA GOFU WA KIMATAIFA ZANZIBAR.
KIVUTIO CHA KITALII CHA ZANZIBAR: ERNIE ELS DESIGN YASAINI MKATABA NA ZANZIBAR AMBER RESORT KUJENGA UWANJA WA GOFU WA KIMATAIFA ZANZIBAR.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg1Z9S_mRlrn-rZ41pxwBLb_VwTNCNZRll7k5-JvT0svO5VA3LS7UuQaQQunF2DSwiXeY0Qezw4PyMtvvy3wks5amfUXbIv1QBA8GyIvZp-kVDVhsKDUWyHvXaqWAKEvco74tx2bTTf6Zg/s640/FullSizeRender.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg1Z9S_mRlrn-rZ41pxwBLb_VwTNCNZRll7k5-JvT0svO5VA3LS7UuQaQQunF2DSwiXeY0Qezw4PyMtvvy3wks5amfUXbIv1QBA8GyIvZp-kVDVhsKDUWyHvXaqWAKEvco74tx2bTTf6Zg/s72-c/FullSizeRender.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/kivutio-cha-kitalii-cha-zanzibar-ernie.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/kivutio-cha-kitalii-cha-zanzibar-ernie.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy