BINTI ALIYE MDATISHA MWANAUME MTANDAONI KWA PICHA ZISIZO ZAKE AIBISHWA
HomeJamii

BINTI ALIYE MDATISHA MWANAUME MTANDAONI KWA PICHA ZISIZO ZAKE AIBISHWA

Ni jambo la kusisimua kutokana na huruka za vijana kwenye mitandao ya kijamii, hii ni mara baada ya kuona matumizi mabaya ya mitan...

TTB TANZANIA KUITUMIA ISRAEL KATIKA KUTANGAZA VIVUTIO VYAKE VYA UTALII NCHINI
WAFANYAKAZI WA KUJITOLEA WA KIMAREKANI WA HAMSINI NA MOJA WA SEKTA ZA AFYA NA KILIMO WAAPISHWA LEO
HIVI NDIVYO INTANETI INAVYOATHIRI MAISHA YAKO YA KILA SIKU





Ni jambo la kusisimua kutokana na huruka za vijana kwenye mitandao ya kijamii, hii ni mara baada ya kuona matumizi mabaya ya mitandao kama Facebook,Twitter, Instagram nk vikiongezeka. Vijana wengi  wanashindwa kutumia mitandao ya kijamii  kwa ajili ya masilahi yao badala yake wamekuwa wakitumia mitandao hiyo, kutafuta wapenzi, utapeli, umbeya, kuanika nyeti zao yaani kuweka picha chafu nk.

Katika video hii Kijana Moses alipata urafiki na msichana ambaye anaitwa “Zaydar” mtandaoni, moses alivutiwa zaidi baada ya kuona picha za mrembo Zaydar kwenye Instagram na ndipo alizidi kukoleza urafiki, kuomba namba na kumtaka awe mpenzi wake, Zaydar hakukataa kwani na yeye  alikuwa anatafuta mwanaume wa kumchuna
kisawaswa.

 Picha alizo kuwa akipost ‘Zaydar’ kwenye mitandao yake ya kijamii hazikuwa zake, alikuwa anaweka picha za warembo wengine ambao ni wazuri zaidi. Hivyo huruka ya moses alijua kuwa msichana anaye wasiliana naye ndiye yule kwenye picha kumbe sio. Timbwili zito ni badaa ya Moses na Zaydar kupanga (apointment) ya kuonana live Dar es salaam – Buguruni – Sokoni … angalia video .. tunaomba Support sanaa ya Tanzania Asante Tunamengi ya kukuelimisha kila wiki.


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BINTI ALIYE MDATISHA MWANAUME MTANDAONI KWA PICHA ZISIZO ZAKE AIBISHWA
BINTI ALIYE MDATISHA MWANAUME MTANDAONI KWA PICHA ZISIZO ZAKE AIBISHWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_EBkQ_FFqa4qU1GlpV6Ob5GGCwuOuDWzr79jt-Vurf59KjEFdxI24f2k7vGcsTN8EZUd23tjGQft1vvGvpC_J9222cgVuIA0_YZKBjzoEQBT2qthyphenhyphenCNbwmbRjXrQfA6qX9UqiQlQYtYQ/s640/Bint+.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_EBkQ_FFqa4qU1GlpV6Ob5GGCwuOuDWzr79jt-Vurf59KjEFdxI24f2k7vGcsTN8EZUd23tjGQft1vvGvpC_J9222cgVuIA0_YZKBjzoEQBT2qthyphenhyphenCNbwmbRjXrQfA6qX9UqiQlQYtYQ/s72-c/Bint+.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/binti-aliye-mdatisha-mwanaume-mtandaoni.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/binti-aliye-mdatisha-mwanaume-mtandaoni.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy