WAKRISTO WALIVYOSHIRIKI IBADA YA MKESHA WA KRISMASI JIJINI DAR ES SALAAM
HomeJamii

WAKRISTO WALIVYOSHIRIKI IBADA YA MKESHA WA KRISMASI JIJINI DAR ES SALAAM

  Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa, akisalimiana na muum...

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NMB
ZITTO KABWE AFIKA MBELE YA KAMATI YA BUNGE MJINI DODOMA LEO
TACAIDS: UKIMWI BADO NI CHANGAMOTO






 Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa, akisalimiana na muumini wa kanisa la Azania Front, Violet Muro baada ya kumpatia zawadi ya ibada mkesha wa Krismasi iliyofanyika jana usiku jijini Dar es Salaam.

 Kwaya ya Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano ikiongoza kwa nyimbo katika ibada iliyofanyika katika kanisa hilo jijini Dar es Salaam.

 Waumini wa Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano wakiwa kwenye ibada ya mkesha wa krismasi.

 Vijana wa Kanisa la KKKT la Azania Front wakiigiza igizo la kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu Kristo.
 Kwaya ya Vijana ya KKKT usharika wa Azania Front ikitoa burudani.
 Kwaya ya vijana ya KKKT Usharika wa Azania Front ikiongoza kwa nyimbo za kusifu na kushangilia sikukuu ya Krismas.
 Watoto wakishiriki ibada katika Kanisa la KKKT la Azania Front.
 Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa akimsalimia muumini wa kanisa hilo, Violet Njau aliyekuwa ameongoza na familia yake.
 Waumini wakiwa nje ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri usharika wa Azania Front baada ya ibada hiyo.



Kwaya ya Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph ikitoa burudani

Na Dotto Mwaibale

AMANI Duniani na hapa nchini hawezi kuletwa na matajiri bali italetwa na maskini wenye kumcha mungu.

Hayo yalisemwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati akiongoza ibada ya mkesha wa Krismasi katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam jana.

"Amani duniani na hapa nchini haiwezi kuletwa na matajiri bali italetwa na maskini wamchao kristo" alisema Pengo.

Alisema kila mmoja wetu mahali alipo akitekeleza wajibu wake ipasavyo atambue anakuwa anatekeleza amani.

Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dk. Alex Malasusa alisema Sikukuu ya Krismasi inamaanisha ni amani na ndio maana watu mbalimbali wamekuwa wakipeana zawadi kuashiria amani hivyo akawaomba wakristo na watu wote kuendeleza amani nchini. 

Katika ibada hiyo ya mkesha wa Krismasi waumini walimiminika kwenye makanisa ya Anglikana la Mtakatifu Albano, Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Mtakatifu Joseph na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Azania Front huku wakiburudishwa na nyimbo za kusifu mungu za kuzaliwa kristo.

(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAKRISTO WALIVYOSHIRIKI IBADA YA MKESHA WA KRISMASI JIJINI DAR ES SALAAM
WAKRISTO WALIVYOSHIRIKI IBADA YA MKESHA WA KRISMASI JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgC2kPzgTOfrmm-VfqPkeKCz1xB-MMNB5HtUtoR0b8WuVRUntlA-0wUxKZa3e86-5ifaReOFRPKOKwclFEXThOqBwRyHwVhdo086KbmTnd-GUM3VAwvFy7CwyNly6LupQJKLzHQttCn9TPX/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgC2kPzgTOfrmm-VfqPkeKCz1xB-MMNB5HtUtoR0b8WuVRUntlA-0wUxKZa3e86-5ifaReOFRPKOKwclFEXThOqBwRyHwVhdo086KbmTnd-GUM3VAwvFy7CwyNly6LupQJKLzHQttCn9TPX/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/wakristo-walivyoshiriki-ibada-ya-mkesha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/wakristo-walivyoshiriki-ibada-ya-mkesha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy