Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Sheikh Sherali Champsi mwe...

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Sheikh Sherali Champsi mwenyekiti wa Kamati ya
maandalizi ya sherehe ya maadhimisho ya maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) zilizofanyika jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Unguja,
Baadhi ya Viongozi na waalikwa mbali mbali wakiwa katika Sherehe ya kuadhimisha Maulid ya kuzalia Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) zilizofanyika
jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi akiwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein(katikati) akiwa na wake wa
Viongozi mbali mbali na Wananchi wakiwa katika sherehe za maadhimisho ya
Maulid ya kuzalia Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) zilizofanyika
jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi akiwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein
Kadhi
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji akimkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili
kushoto) katika Maulid matukufu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W)
Sherehe zilizofanyika jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (wa pili kushoto) akimuangalia Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh
Khamis Haji akitia ubani kama ishara ya Kuyafungua Maluid matukufu ya
kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) Sherehe zilizofanyika jana katika
Viwanja vya Maisara Mjini Unguja
Waislamu
na Wananchi waliohudhuria katika sherehe tukufu ya Maulid ya kuzalia
kwa Mtume Muhammad (S.A.W) zilizofanyika jana katika viwanja vya Maisara
Mjini Unguja
Ustadh
Ali Muombwa Hassan wa Chuo cha Kiislamu akitoa Tafsiri ya Qur'aan
Tukufu ya Suratul Touba (Aya 128 hadi 129) iliyosomwa katika sherehe
tukufu ya Maulid ya kuzalia kwa Mtume Muhammad (S.A.W) zilizofanyika
jana katika viwanja vya Maisara Mjini Unguja
Wanafunzi
wa Madrassa Hidayatul Munineema na Nurul Islamia ya Mpendae Mjini
Unguja wakisoma Qaswida YaRabii Swali katika sherehe tukufu ya Maulid ya
kuzalia kwa Mtume Muhammad (S.A.W) zilizofanyika jana katika viwanja
vya Maisara Mjini Unguja
Ustadh
Mohamed Khamis Rashid wa Kiweani Pemba akisoma maulid Barzanji mlango
wa kwanza katika sherehe tukufu ya kuzalia kwa Mtume Muhammad (S.A.W)
zilizofanyika jana katika viwanja vya Maisara Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,(kushoto) akifukiziwa Udi baada bya kutiliwa marashi wakati
kumswalia mtume Muhamad (S.A.W) wakati sherehe ya maadhimisho ya maulid
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mw3anamwema Shein (katikati) pamoja na Wake wa
Viongozi wakisimama kumswalia Mtume (S.A.W) wakati wa Maulid hayo.
Mashekhe
mbali mbali na wananchi waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya
Maulidi ya kuzaliwa Kiongozi wetu Mtume Muhammad (S.A.W) wakisimama
kumswalia jana katika sherehe zilizofanyika katika Viwanja vya Maisara
Mjini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,(kulia) akipookea Zawadi ya Qaswida ya mwaka kutoka kwa Sheikh
Sherali Champsi, Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya sherehe ya
maadhimisho ya maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) wakati wa sherehe hizo zilizofanyika jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Unguja
Sheikh Mohamed Kassim akitoa Khutba yake wakati wa sherehe za maadhimisho ya maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) sherehe hizo zilizofanyika jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Unguja
Wanamadrssa
kutoka Mtendeni Mjini Unguja wakisoma Maulid ya Hom wakati wa sherehe
za maadhimisho ya maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W)
Akina mama waliojitokeza katika sherehe za maadhimisho ya maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W)
Wanafunzi wa Madrassa mbali mbali na Wananchi wakiwa katika sherehe ya maadhimisho ya maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) sherehe hizo zilizofanyika jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Unguja
COMMENTS