MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI WAZINDUA HUDUMA YA ULIPAJI WA MAFAO YA FIDIA NA UZINDUZI WA UBIA BAINA YA WCF NA WATOA HUDUMA ZA AFYA.
HomeJamii

MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI WAZINDUA HUDUMA YA ULIPAJI WA MAFAO YA FIDIA NA UZINDUZI WA UBIA BAINA YA WCF NA WATOA HUDUMA ZA AFYA.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira na wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama, akikata utepe...

ZAIDI YA MILIONI 340 ZAPATIKANA KATIKA UZINDUZI WA BODI YA UDHAMINI DHIDI Y UKIMWI
TANESCO YATANGAZA KUWEPO KWA KATIZO LA UMEME KWA BAADHI YA MIKOA ILIYOUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA
MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AENDESHA HARAMBEE YA SH.BILIONI 1 KUSAIDIA MFUKO WA UKIMWI NCHINI











Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Kazi,
Ajira na wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama, akikata utepe kuzindua mafao ya Fidia na na ubia baina ya watoa huduma za afya .Uzinduzi huo ulifanywa na Waziri Mhagama kwa
niaba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa jijini Dar es Salaam, Desemba 20, 2016. wanaoshuhudia ni Naibu Mawaziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Mh. Anthony Mavunde, (wapili kulia), Mh. Dkt. Abdallah Possi, (watatu kulia), Bw. Emmanuel Humba, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), wanne kulia, na Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Masha Mshomba. (watano kulia).
.(
PICHA NA MUHIDIN SUFIANI)






NA ANTHONY JOHN, GLOBU
YA JAMII
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge kazi ,vijana Ajira
na watu wenye ulemavu, Jenista Muhagama, amewataka waajili wote kuwasilisha
Michango ya wafanyakazi wao Mfuko Fidia kwa Wafanyakazi WCF kwa wakati.

Akizungumza katika Uzinduzi wa Huduma za utoaji wa Mafao ya fidia
kwa wafanyakazi na ubia kati ya Mfuko na watoa Huduma za Afya amesema kuwa
kwa Mwaka huu wafedha Serikali imewasilisha Michango ya
wafanyakazi wake wote ambapo alizitaka Sekta binafsi pia kuwasilisha Michango
yao kwa wakati.

Sanjari  na Hayo Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Masha Mshomba
ameongeza kuwa Mpaka kufikia Novemba 30 Mwaka huu Jumla ya waajili 5945
wamechangia na wamepewa na ya usajili.

Hata Hivyo Mweketi  wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko huo
Emmanuel Humba amesema Mfuko Huo utachangia kwa kiwango kikubwa Sera ya
Tanzania ya Viwanda  iliyoa anzishwa na Serikali ya awamu ya tano kwani
wafanyakazi watakapo  kuwa na Afya njema watafanya kazi kwakujiamini na
kuleta Maendeleo.


 Waziri Mhagama akihutubia
 Mwenyekiti wa bodi ya WCF, Bw. Emmanuel Humba akitoa hotuba yake
 Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw.Masha Mshomba, akitoa hotuba yake
 Mgeni rasmi, Naibu Mawaziri, viongozi wa WCF, na waliotunukiwa vyeti wakiwa kwenye picha ya pamoja




Waziri Mhagama, akimkabidhi cheti cha ubia baina ya WCF na watoa huduma za afya,  Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,
Bernard Konga, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Huduma ya Utoaji wa Mafao ya
Fidia kwa Wafanyakazi na Ubia kati ya Mfuko na watoa huduma za afya, WCF
uliozinduliwa jijini Dar es Salaam, leo.






Waziri Mhagama, akimkabidhi cheti cha ubia baina ya WCF na watoa huduma za afya,  Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Mkifupa (MOI), Dkt. Othman Kiloloma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Huduma ya Utoaji wa Mafao ya
Fidia kwa Wafanyakazi na Ubia kati ya Mfuko na watoa huduma za afya, WCF
uliozinduliwa jijini Dar es Salaam, leo.


 Mgeni rasmi akimpongeza msanii Mrisho Mpoto kwa ujumbe wake murua kupitia sanaa
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa WCF na wageni wengine
Waziri akisalimiana na mameneja na maafisa wa WCF, wakati akiwasili
 Wafanyakazi wa WCF wakimsubiri mgeni rasmi
 Waziri akiongozana na  Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Masha Mshomba, huku akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa
Waziri Mhagama, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi waWCF.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI WAZINDUA HUDUMA YA ULIPAJI WA MAFAO YA FIDIA NA UZINDUZI WA UBIA BAINA YA WCF NA WATOA HUDUMA ZA AFYA.
MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI WAZINDUA HUDUMA YA ULIPAJI WA MAFAO YA FIDIA NA UZINDUZI WA UBIA BAINA YA WCF NA WATOA HUDUMA ZA AFYA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhiW9leVdFSlxVc48YHX1FTu9LOjE6k3OZ_g2Ijs-cK4j6A0VT4BNt4Jm74nCG2S5O3PPBXdmdqcvRyGBVTI7Xk40224zj3VoyjA3L2cdecYEmwepxiVgY5r1W7rnf0ymfKU_59ukzLMYU/s640/01.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhiW9leVdFSlxVc48YHX1FTu9LOjE6k3OZ_g2Ijs-cK4j6A0VT4BNt4Jm74nCG2S5O3PPBXdmdqcvRyGBVTI7Xk40224zj3VoyjA3L2cdecYEmwepxiVgY5r1W7rnf0ymfKU_59ukzLMYU/s72-c/01.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/waajiri-waagizwa-kuwasilisha-mafao-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/waajiri-waagizwa-kuwasilisha-mafao-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy