Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa...
Rais wa
Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth
Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam
Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa pole kufuatia kifo cha
dada yake nyumbwani
kwake Kurasini jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016. (PICHA NA IKULU)
Rais wa
Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth
Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam
Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa pole kwa kufiwa na dada
yake nyumbwani kwake
Kurasini jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016.
Rais na mama Janeth Magufuli, wakiagana na Askofu Cardinali Pengo
COMMENTS