Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIMR, Prof. Yunus D. Mgaya Dkt. Mwele Malecela JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA K...
Dkt. Mwele Malecela |
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU![Description: Description: Description: Description: Description: Coat of Arms](https://lh4.googleusercontent.com/WKf2OlPPJZfWNWThK2lvs_xZaxyKcNLP_iMBAhleX0ZPKdB8MP_ZQ2wd13nrWm1DB7UBwQA7GPv0UiVtKWA8D8hIu-fYZjhlo7BfK2TFDgkv2HdfvEtwFUC_ofAfZFncCRLtAjaF_vMxaaW1IA)
Simu: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425 |
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ikulu, Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 16 Desemba, 2016 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dkt. Mwele Malecela.
Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NIMR atakayejaza nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Mwele Malecela utatangazwa baadaye.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
16 Desemba, 2016
COMMENTS