Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp wal...
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na
Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp walipokutana kwa
mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo Desemba 23, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha
ya kumbukumbu na Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yasemin Eralp
walipokutana kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23,
2016.Wengine kutoka kushoto ni Balozi zuhura Bundala, Balozi Joseph
Sokoine na Bw. Hassan Mwamweta wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kikanda na Kimataifa. (PICHA NA IKULU)
COMMENTS