WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUGUMZA NA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII NA WAKUU WA MAPORI YA HIFADHI ZA MISITU
HomeJamii

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUGUMZA NA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII NA WAKUU WA MAPORI YA HIFADHI ZA MISITU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao alichokiitisha kati yake na  Watendaji Wakuu wa  Wizara ya Maliasil...

ADAKWA KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI NYARAKA ZA SERIKALI ILI KUTAPELI IDARA YA HABARI MAELEZO
CHINA KUWEKEZA VIWANDA NCHINI ATHIBITISHA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HIYO WANG YI
MSIKILIZE MKURUGENZI WA UCHAGUZI KAILIMA RAMADHAN AKIFAFANUA KUHUSU TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NA UCHAGUZI MDOGO WA JANUARI 22, 2017










Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao alichokiitisha kati yake na  Watendaji Wakuu wa  Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori  ya Hifadhi za Mistitu, Ofisini kwake mjini Dodoma Novemba 21, 2016.  Kulia kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe akizungumza katika Mkutano ulioitishwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kati yake na Watendaji Wakuu wa  Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori  ya Hifadhi za Misitu, Ofisini kwake mjini Dodoma Novemba 21, 2016.

 Baadhi ya Watendaji Wakuu  wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori ya Hifadhi za Misitu  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao Ofisini kwake mjini Dodoma, Novemba 21, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (katikati) baada ya kuongoza kikao kati yake na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori ya Hifadhi za Misitu, Ofisini kwake mjini Dodoma Novemba 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUGUMZA NA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII NA WAKUU WA MAPORI YA HIFADHI ZA MISITU
WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUGUMZA NA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII NA WAKUU WA MAPORI YA HIFADHI ZA MISITU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEic6VoZsN9bAsNTGd8MdfOaUD9F05eHR9ENAcvguusTY5hF2DAFbNBrQJ57ZJJkf9H2ZRgp_YzyBmX3G2-AuaBOvfAj0tGBo68eDTuvlV2n_l_kOemSz3GPtiSqUjm8JRigweoxwQ23sgIo/s640/RG1A3580.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEic6VoZsN9bAsNTGd8MdfOaUD9F05eHR9ENAcvguusTY5hF2DAFbNBrQJ57ZJJkf9H2ZRgp_YzyBmX3G2-AuaBOvfAj0tGBo68eDTuvlV2n_l_kOemSz3GPtiSqUjm8JRigweoxwQ23sgIo/s72-c/RG1A3580.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/waziri-mkuu-majaliwa-azugumza-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/waziri-mkuu-majaliwa-azugumza-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy