Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson (kulia), wa timu ya Bunge akidaka mpira ulioelekezwa go...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson (kulia), wa timu ya Bunge akidaka mpira ulioelekezwa golini kwake walipocheza na timu ya Wilaya ya Chato katika mchezo wa kirafiki wa netiboli uliofanyika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
COMMENTS