MKUTANO MKUU NA KONGAMANO LA WAPIMAJI ARDHI LAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM
HomeJamii

MKUTANO MKUU NA KONGAMANO LA WAPIMAJI ARDHI LAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akifungua mkutano mkuu na Kongamano la Wapimaji Ardhi linalofanyika...

GOVERNMENT LAUNCHES 'NIPO TAYARI' CAMPAIGN
TANESCO YAWAOMBA WANANCHI KUTOA TAARIFA MAPEMA WAONAPO HITILAFU YA UMEME ILIYOSABABISHWA NA MVUA AUKITU KINGINE
SERIKALI KUCHIMBA MABWAWA YA MAJI ILI KUPUNGUZA UHABA WA MAJI NCHINI






Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akifungua mkutano mkuu na Kongamano la Wapimaji Ardhi linalofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia leo Novemba 2-3, 2016.


Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akionyeshwa moja ya vifaa vinavyotumika katika upimaji wa Ardhi mapema leo katika Mkutano mkuu na Kongamano la Wapimaji Ardhi unaofanyika jijini Dar es Salaam.


Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akipewa maelezo jinsi mambo yalivyobadirika katika mfumo wa Kidigitali.


Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akiwa amebeba moja ya kifaa kinachotumika katika upimaji.


Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akionyeshwa kifaa cha kisasa kinachotumika katika upimaji.


Wapimaji wa Ardhi wakiwa katika mkutano Mkuu na Kongamano la Wapimaji Ardhi.



Wapimaji wa Ardhi wakiwa katika mkutano Mkuu na Kongamano la Wapimaji Ardhi.



Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akitoa cheti cha shukrani kwa makampuni yaliweza kusaidia kufanikisha mkutano Mkuu na Kongamano la Wapimaji Ardhi. Pembeni kushoto ni Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani, Bw. Justo Lyamuya.



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKUTANO MKUU NA KONGAMANO LA WAPIMAJI ARDHI LAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM
MKUTANO MKUU NA KONGAMANO LA WAPIMAJI ARDHI LAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiR8fx_R9i5YzPUJMZeyqHQ3wIKNtM8AXS6Fh-fHsPvUAEdQQYTFDU_wQZHHNXF0QegRotgl8_VTCXlqsvn8GC6vVEYiR3ub5z6AJAaIoc8CjEc0CwNR2vUp1Oj58Qq9bLHKarjghuMTs0/s640/IMG_2875.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiR8fx_R9i5YzPUJMZeyqHQ3wIKNtM8AXS6Fh-fHsPvUAEdQQYTFDU_wQZHHNXF0QegRotgl8_VTCXlqsvn8GC6vVEYiR3ub5z6AJAaIoc8CjEc0CwNR2vUp1Oj58Qq9bLHKarjghuMTs0/s72-c/IMG_2875.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/mkutano-mkuu-na-kongamano-la-wapimaji.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/mkutano-mkuu-na-kongamano-la-wapimaji.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy