Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akisalimiana na Mkufunzi wa Ujasiriamali Bi. Debora Charles ...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akisalimiana na Mkufunzi wa Ujasiriamali Bi. Debora Charles (kushoto) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wajasiriamali vijana wa Manispaa ya Kinondoni jana Jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akizungumza na vijana wajasiriamali wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wajasiriamali vijana wa Manispaa ya Kinondoni jana Jijini Dar es Salaam.

Mkufunzi wa Ujasiriamali Bi. Debora Charles akitoa mada wakati wa mafunzo ya wajasiriamali vijana kutoka Manispaa ya Kinondoni jana Jijini Dar es Salaam.
COMMENTS