BODI MPYA YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA YAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM
HomeUchumi

BODI MPYA YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA YAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM

Ofisa Uhusiano Mwandamizi Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Wilfred Miigo akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari...

HALMASHAURI YA SIMANJIRO YAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 25.3
SERIKALI YATOA UFAFANUZI WA MATUMIZI YA FEDHA ZA KIGENI
SEKTA YA MADINI LAZIMA IWE NA MCHANGO MKUBWA KWENYE PATO LA TAIFA: MHE DOTTO BITEKO






Ofisa Uhusiano Mwandamizi Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Wilfred Miigo akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari, waliohudhuria kwenye wa Bodi ya Shirika katika kuelezea mikakati yake ya kiutendaji kwa ajili ya kulikwamua shirika hilo. Katikati ni Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haruni Kondo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

Baadhi ya wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta wakifuatilia maelezo mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari.

Baadhi ya wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta wakifuatilia maelezo  mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa wakati wa mkutano huo na waandishi wa  habari. 

Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika hilo, Fortunatus Kapinga, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika kuzungumza na waandishi wa habari katika kuelezea mikakati mbalimbali ya kulikwamua shirika. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi, Haruni Kondo na Katibu wa Shirika na Bodi, Rochus Assenga.

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk. Haruni Kondo (katikati), akizungumza na  waandishi wa habari katika kuelezea mikakati mbalimbali ya kulikwamua shirika. Kushoto ni Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika hilo, Fortunatus Kapinga na Katibu wa Shirika na Bodi, Rochus Assenga.


Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Posta, Jasson Bagoza, akimsikiliza Mwenyekiti wa bodi hiyo, wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Posta, Leonard Kitoka, akimsikiliza  Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haruni Kondo, wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa  habari jijini Dar es Salaam leo. 


Baadhi ya Maofisa wa Shirika la Posta wakimsikiliza Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haruni Kondo, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuelezea mikakati ya kulikwamua shirika hilo.

Baadhi ya wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta na waandishi wa habari, wakifuatilia maelezo  mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa, wakati wa mkutano huo.

Baadhi ya Wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta, wakifuatilia maelezo  mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa, wakati wa mkutano huo.

Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Posta, Dk Ubena John, akimsikiliza  Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haruni Kondo, wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. 

Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Posta, Bibi Stella Nghambi, akimsikiliza  Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haruni Kondo, wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa  habari jijini Dar es Salaam leo. 

Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Posta, Bibi Khadija Shaaban, akinukuu maelezo yaliyokuwa yakitolewa na  Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haruni Kondo, wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa  habari jijini Dar es Salaam leo. 

Baadhi ya waandishi wa habari, wakinukuu habari zilizokuwa zikitolewa na Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haruni Kondo, wakati alipokuwa akizungumza nao, jijini Dar es Salaam leo. 

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika, Dk. Haruni Kondo (kushoto), akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari wakati akielezea mikakati mbalimbali ya kulikwamua shirika hilo.

Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika hilo, Fortunatus Kapinga, akitoa maelezo kwa waandishi wa habari, wakati alipotakiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Dk. Haruni Kondo (wa pili kushoto) kutoa uafafanuzi kuhusu moja ya nyumba ya shirika hilo.

Baadhi ya Wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta wakifuatilia maelezo mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa wakati wa mkutano huo na waandishi wa  habari. 

Mmoja wa wajumbe wa Bodi ya Shirika la Posta, Fatuma Bakari pamoja na baadhi ya Wakuu wa vitengo vya shirika wakifuatilia maelezo yaliyokuwa na Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haruni Kondo, kabla ya kumaliza kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BODI MPYA YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA YAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM
BODI MPYA YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA YAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEib6jHVpvAdiKpfq_bd1U9DQCLCK1NnS6qwCLr6CYQ7NNpSjoFdY3kv2_Xtz6TUnuz8ysnsv3Uc90OqTXw-2Rv04XVtaNg1hDY7mPXW2-N719e8purXV49uJ88sEVONVZs83n5ytUv9lZM/s640/IMG_3618.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEib6jHVpvAdiKpfq_bd1U9DQCLCK1NnS6qwCLr6CYQ7NNpSjoFdY3kv2_Xtz6TUnuz8ysnsv3Uc90OqTXw-2Rv04XVtaNg1hDY7mPXW2-N719e8purXV49uJ88sEVONVZs83n5ytUv9lZM/s72-c/IMG_3618.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/bodi-mpya-ya-shirika-la-posta-tanzania.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/bodi-mpya-ya-shirika-la-posta-tanzania.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy