TETEMEKO la ardhi lenye kipimo cha 5.7 limeikumba mikoa ya kanda ya ziwa hususan mkoa wa Kagera pembezoni mwa Ziwa Victoria ...
TETEMEKO la ardhi lenye kipimo cha 5.7 limeikumba mikoa ya kanda
ya ziwa hususan mkoa wa Kagera pembezoni mwa Ziwa Victoria leo Jumamosi Septemba 10, 2016.
Kwa mujibu wa taasisi ya Kimarekani ya U.S.G
tetemeko hilo lilipiga urefu wa kwenda chini kilomita 10 na limeutikisa mji wa
Bukoba na viunga vyake majira ya mchana.
Taarifa za awali kutoka mkoani humo zimesema, nyumba kadhaa
zimebomoka, ingawa bado hakuna taarifa za maafa ambazo tayari zimeripotiwa.
Mkazi huyu wa Bukoba, akiendesha
pikipiki yake mbele ya nyumba iliyobomoka kutokana na tetemeko la ardhi
lililoukumba mji huo na viunga vyake leo Septemba 10, 2016
Uharibifu wa nyumba uliosababishwa na tetemeko hilo
COMMENTS