Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Satano Mahenge (wa nne kutoka kushoto) akikata utepe mwishoni mwa wiki kuashiria uzinduzi...
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Satano Mahenge (wa nne kutoka
kushoto) akikata utepe mwishoni mwa wiki kuashiria uzinduzi rasmi wa Duka
jipya la Vodacom Tanzania lililopo songea mjini.Wengine katika picha ni
baadhi ya wafanya kazi wa kampuni hiyo.
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Satano Mahenge, akikata keki ikiwa ni
ishara ya kuzindua rasmi Duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo songea
mjini mwishoni mwa wiki.
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Satano Mahenge (kulia) akipokea zawadi
toka kwa Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya Ruvuma, Amos
Vuhahula (kushoto) mara baada ya kuzindua rasmi Duka jipya la kampuni
hiyo lililopo songea mjini mwishoni mwa wiki.
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Satano Mahenge,akigonganisha glasi na
baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, Baada ya kuzindua rasmi Duka
jipya la Vodacom Tanzania lililopo songea mjini mwishoni mwa wiki.
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Satano Mahenge, akisisitiza jambo wakati
wa hafla fupi ya uzindua wa Duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo
songea mjini mwishoni mwa wiki.
Hili ndilo duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo Songea mjini.
COMMENTS