Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Msuguri wakati alipokwenda kwenye ho...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Msuguri wakati alipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El Hadj kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es Salaam Septemba 12, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kushoto) wakiwajulia hali wagonjwa wakati walipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El Hadj kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es Salaam Septemba 12, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakimjulia hali
Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Msuguri wakati walipokwenda kwenye
hospitali ya Jeshi ya Lugalo kuona wagonjwa baada ya
kushiriki sala ya Iddi El Hadj kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar
es Salaam Septemba 12, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakimjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Msuguri wakati walipokwenda kwenye
hospitali ya Jeshi ya Lugalo kuona wagonjwa baada ya
kushiriki sala ya Iddi El Hadj kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar
es Salaam Septemba 12, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia)
wakiwajulia hali wagonjwa wakati walipokwenda kwenye hospitali ya
Jeshi ya Lugalo kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya
Iddi El Hadj kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es Salaam
Septemba 12, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwajulia hali wagonjwa wakati walipokwenda kwenye hospitali ya
Jeshi ya Lugalo kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya
Iddi El Hadj kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam
Septemba 12, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kushoto) wakiwajulia hali wagonjwa wakati walipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El Hadj kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es Salaam Septemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
COMMENTS