MKURUGENZI MKUU MPYA IDARA YA USALAMA WA TAIFA ATEULIWA (TISS), NI DKT. MODESTUS FRANCIS KIPILIMBA

  Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Dkt. Modestus Francis Kipilimba. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZA...






 Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Dkt. Modestus Francis Kipilimba.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULUDescription: Description: Description: Description: Description: Coat of Arms
Simu: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz               

Faksi: 255-22-2113425



OFISI YA RAIS,
     IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,   
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 24 Agosti, 2016 amemteua Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Kabla ya uteuzi huo Dkt. Modestus Francis Kipilimba alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Dkt. Modestus Francis Kipilimba anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Rashid Othman ambaye amestaafu.
Dkt. Modestus Francis Kipilimba ataapishwa leo mchana tarehe 24 Agosti, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Aidha, Rais Magufuli amemteua Bw. Robert Msalika kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Robert Msalika alikuwa Afisa Ubalozi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia.
Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Bw. George Madafa kuwa Balozi na nchi atakayopangiwa itatajwa baadaye.
Wakurugenzi na Naibu Wakurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa waliopo wanaendelea na nafasi zao.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es Salaam
24 Agosti, 2016

 Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idaraya Usalama wa Taifa, Rashid Othman.


 


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKURUGENZI MKUU MPYA IDARA YA USALAMA WA TAIFA ATEULIWA (TISS), NI DKT. MODESTUS FRANCIS KIPILIMBA
MKURUGENZI MKUU MPYA IDARA YA USALAMA WA TAIFA ATEULIWA (TISS), NI DKT. MODESTUS FRANCIS KIPILIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcWo9GgvnHtylk8-FHJEGTNuWo64QY9TsdAqIdLeh8yGnzcRkbr_ZPKs69zHehGfUR6MENVpHTh81AQ3m8rn5TO3HSKI5MxPNizuhWz1Z9zUuQx5w3yiDW4s61wdJJmTVPxblxw1pOHkY/s640/mode.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcWo9GgvnHtylk8-FHJEGTNuWo64QY9TsdAqIdLeh8yGnzcRkbr_ZPKs69zHehGfUR6MENVpHTh81AQ3m8rn5TO3HSKI5MxPNizuhWz1Z9zUuQx5w3yiDW4s61wdJJmTVPxblxw1pOHkY/s72-c/mode.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/08/mkurugenzi-mkuu-mpya-idara-ya-usalama.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/mkurugenzi-mkuu-mpya-idara-ya-usalama.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy