Waombolezaji wakilishusha jeneza lwenye mwili wa marehemu Joseph Senga, aliyekuwa mpiga picha mkuu wa gazeti la Tanzania...
Waombolezaji wakilishusha jeneza lwenye
mwili wa marehemu Joseph Senga, aliyekuwa mpiga picha mkuu wa gazeti la
Tanzania Daima, wakati wa zmishi yake yaliyofanyika wilayaniKwimba
mkoani Mwanza leoJAgosti 1, 2016. Marehemu Senga alifariki wiki
iliyopita nchiniIndia alikokuwa akipatuiwa matibabu yamoyo. Mungu ailaze
roho yake mahala pema peponi AMIN.
![]() |
Wawakilishi wa Chama Cha Wapiga Picha Tanzania, Said Powa, (kushoto), na Emmanuel Herman, wakiwa kwenye ibada yamazishi |
![]() |
Mbunge wa Nsuve Richard Ndasa, ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa marehemu akimuaga kwa mara ya mwisho kabla ya mazishi yake leo Agosti 1, 2016 |
Mwili ukiwasili katika Kijiji cha Shushi Wilaya ya Kwimba Mwanza kwa ajili ya taratibu za maziko. (Picha na Said Powa)
Mama wa marehemu akisaidiwa kugusa mwili
wa mwanae kwa mara ya mwisho kabla ya maziko.
COMMENTS